Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia kwa makini unaona kabisa Polepole hayupo pekeake paleHuu ni Moshi wa polepole shimoni Kwa wahuni, au?
| Hizo shule pamoja na viwanja ni mali ya watanzania ccm wavirudishe kwa watanzania waache kujimilikisha vitu ambavyo sio vyao | |
Nilidhani ungekuwa unafurahia hii fursa ya ccm kujichanganya, kumbe wewe unawapa angalizo ili wajipange? Nimekushangaa sanaTatizo la kikundi cha Polepole uwezo wenu ni mdogo sana , Uzi mmoja mnataka kila mwanakikundi auanzishe !
Kuanzisha uzi ni haki ya kila member wa Jf, habari ina chanzo chake ambacho ni Mwananchi hivo kama tulikiona watu wawili tukasema kuna haja ya kuileta JF na tukajukuta nyuzi ziko mbili ni haki ya Mod kufuta moja kuacha nyingine.Tatizo la kikundi cha Polepole uwezo wenu ni mdogo sana , Uzi mmoja mnataka kila mwanakikundi auanzishe !
BULEMBO huyu huyu Baba Mkwe Wa ZITTO AU huyu anayerumbana na PolepoleWakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.
Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.
“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.
Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”
Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.
Bulembo ni tapeli haswaWakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.
Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.
“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.
Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”
Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.
CCM kumejaa majiziCCM imejimilikisha viwanja vya michezo vilivyojengwa kwa jasho la wananchi.
Mara utasikia CCM Kirumba , CCM Kambarage.
Anzeni kuvirudisha kwa watu hivyo viwanja sio mali yenu.
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.
Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.
“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.
Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”
Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.
Hahaha ubani umevukizwa nyoka wameanza kutoka ndani ya shimo, Et ana miaka mitano chamani huyu Mzee anataka kujifanya yeye ana kadi namba Moja ccm hata awazid akina kingunge.Polepole endelea kuwafurumsha wahuni
Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni.
Marocha alisema shule hiyo alikabidhiwa Mwalimu Nyerere na wakoloni maalumu kwa ajili ya wasichana na alitumia nafasi yake kuwapa wazazi, lakini wachache waliiuza na kugawana.
“Shule ile ndiyo alisoma Gaudencia Kabaka (mwenyekiti wa UWT Taifa), Bulembo namtaja hata kama ana watu wake hapa wakamwambie, aliyeichukua ameanza kuipaka rangi,” alisema Marocha.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Dk Edmund Mndolwa alikiri kuwa na taarifa za mgogoro wa Shule ya Isango, akisema kuna wakati alikaa hapo hadi usiku lakini mgogoro wake ni mkubwa.
Akijibu tuhuma hizo, Bulembo alisema “muulize huyo (Marocha) aliingia lini kwenye chama kama si mwaka wa tano huu, hajui chochote, nimehangaika na shule hiyo kwa miaka minne Mahakama Kuu nikitaka kuinasua kutoka kwa mfanyabiashara mmoja wa Musoma, mimi hata niliposhika nafasi ya mwenyekiti nilikuwa natokea Mara kwa hiyo nayajua mengi.”
Bulembo alisema Marocha hajui historia zaidi ya kuibukia kwenye uongozi na kutaka aseme ili asikike, huku akieleza kuwa yeye (Bulembo) ni mstaafu anayeweza kuwa na udhaifu lakini hauhusu uuzaji wa shule za jumuiya.
Wakuu wa shule za wazazi enzi za Bulembo wanamjua vizuri sana. Kama ni msafi au la.Bulembo ni mwizi na jangili lilistahili kufungwa maisha.
Jiulize mlimuungaje mkono lowasa?Huwa nawashangaa sana wanaoiunga mkono CCM.