CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

Tatizo la kikundi cha Polepole uwezo wenu ni mdogo sana , Uzi mmoja mnataka kila mwanakikundi auanzishe !
 
Hizo shule pamoja na viwanja ni mali ya watanzania ccm wavirudishe kwa watanzania waache kujimilikisha vitu ambavyo sio vyao
 
Tatizo la kikundi cha Polepole uwezo wenu ni mdogo sana , Uzi mmoja mnataka kila mwanakikundi auanzishe !
Nilidhani ungekuwa unafurahia hii fursa ya ccm kujichanganya, kumbe wewe unawapa angalizo ili wajipange? Nimekushangaa sana
 
Tatizo la kikundi cha Polepole uwezo wenu ni mdogo sana , Uzi mmoja mnataka kila mwanakikundi auanzishe !
Kuanzisha uzi ni haki ya kila member wa Jf, habari ina chanzo chake ambacho ni Mwananchi hivo kama tulikiona watu wawili tukasema kuna haja ya kuileta JF na tukajukuta nyuzi ziko mbili ni haki ya Mod kufuta moja kuacha nyingine.

Itoshe kusema sina kikundi chochote ndani ata nje ya siasa ila kuna watu itikadi zao naziamini na nawaunga mkono katika harakati zao nani wafuatao.

1. Hayati Mwalim Nyerere
2. Hayati John Magufuli
3. Hayati Sokoine
4. Dkt Wilibroad Slaa
5. Mh Polepole
6. Philip Mangula
7. Mh Bashiru Ally
 
BULEMBO huyu huyu Baba Mkwe Wa ZITTO AU huyu anayerumbana na Polepole

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
CCM imejimilikisha viwanja vya michezo vilivyojengwa kwa jasho la wananchi.

Mara utasikia CCM Kirumba , CCM Kambarage.

Anzeni kuvirudisha kwa watu hivyo viwanja sio mali yenu.
 
Apelekwe kwenye kamati kwenda kujibu Bulembo
 
Bulembo ni tapeli haswa
 
Polepole endelea kuwafurumsha wahuni
Hahaha ubani umevukizwa nyoka wameanza kutoka ndani ya shimo, Et ana miaka mitano chamani huyu Mzee anataka kujifanya yeye ana kadi namba Moja ccm hata awazid akina kingunge.
 

Hawa watu wa Ccm hovyo badala ya kujibu tuhuma wanasema wamekaa Ccm Mda mrefu!
 
Mwenye ripoti ya ukaguzi wa Mali za CCM aweke humu kuficha wakati copy unayo huitendei haki nchi wala CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…