CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

Wakishatumaliza wataanza kulana wao kwa wao. Itabidi unatimia.
 
Nyerere alikuwa anawachangisha wa TZ kukijenga chama Leo hii vijana wanauza Mali hizo Kwa Bei Chee kabisa
 
#KataaWahuni [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…