ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Lakini wenzio wa hukohuko wanamchukia na kulaani afanyayo Mama SSNa huu ndio msingi wa CCM na uimara wake
AMENHilo la kawaida sanaaaaaa
Hata wewe wapo wanaokupenda na wanaokuchukia
Hata mitume walipendwa lakini wapo waliowachukia pia
JPM muacheni apumzike!! Zao zao era yake imetoweka na hairudi tena milele. For now tunafanya reshuffle hivyo mkae kwa kutulia 🤣🤣
Pole sana Bw. Ole Sabaya! Arusha hatukupendi na ndio maana ya majungu yetu umeiona.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo
Mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nini mama unatufanyia hivi sasa wanao tumekukosea nini mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Dah....hili nalo limfikie Mama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sabaya ulionywa sana ukakaza shingo,unavuna ulichopanda,na kwa taarifa ni kuwa jela inakuhusu. Wewe si ukiwateka watu ukaua,ukanyang'anya na wengine ukawalawiti,sasa zamu yako ya kulawitiwa imefika.
Wewe ni mbumbumbu eti wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM. Umetumia kigezo gani kuja na hiyo hoja?Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
Nisamehe mpenzi. Vihasira vikichanganyika na K Vant huleta matatizo kwenye medulla...Babuuuh acha kumdhihaki mwendazake, hata km hukupendezwa nae, basi tumia hekima na busara ktk kuonesha chuki nae, sorry lakini.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Dogo ana akili za kisukuma gang...Wewe ni mbumbumbu eti wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM. Umetumia kigezo gani kuja na hiyo hoja?
Kama wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM kama unavyotaka kutuaminisha kwanini kwenye uchaguzi mkuu JPM aliruhusu uhuni kama ule kufanyika hali anajua ana mtaji mkubwa wa wapiga kura?
Amka usingizini kumekucha.
Umeshindwa hata kueleza wamekugeuka wapi na vipi.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
Choma kadi na uhame. Huyo ndiye Rais anayejua uongozi. Anakinyoosha chama na nchi. Vyote vilipinda ikabaki udikteta.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
My salute. Safi sana. Ukweli wote utaibuka. Zilitengenezwa karatasi za matokeo yakabandikwa. Kisa awe na bunge la chama kimoja ili apitishwe kuwa Rais wa Maisha. Mungu ni fundi. Yaani walitaka kuharibu Katiba ya nchi na Ile ya Chama cha Mapinduzi? Akaanza kutoa hongo kwa...........na yule aliyepinga nia yake ya umilele sijui hata yuko wapi.....hapa naona nitulie nimeze kwanza chai hapa. Fungua code.Leo ndio umekili Magufuli alishinda kwa Mbinde. 2020 ndio kabisa asingeshinda. Mungu kqmnyanganya urais aliokuwa hastahili Kampa Mama.
Mwendazake muache sasa apumzike, huu ni utawala mwingineKufanya reshuffle ndio style ileile ya JPM toka mwanzo wa term hadi mwisho.... Na hii ndio CCM ileile ya kina lugola🤣🤣
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Kaziinaendelea
Mwendazake muache sasa apumzike, huu ni utawala mwingine
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
😃😀😀,hawezi sikiliza wanaccm wa enzi zile anajua fika taifa mlisha taka lipeleka kuzim tulishafikia hatua ya kutozika tokana chuki zenu mlizopandikiza chin ya mwendazake,Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote
CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.
Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.
Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.
Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
Sabaya yupo rumande mpelekeeni chai.mm wala si Sabaya ni kada mtiifu wa CCM
Na Bwana Mungu amlaze sehemu yenye giza na chawa wamng'ate sana!kul nafsi dhalkat maut
Wewe ni fisadi tu na mpiga dili. Huna lolote. Ccm mbele kwa mbele.Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote