CCM mnajua kunivuruga. Niliwapenda, niliwakubali lakini sasa inatosha

JPM muacheni apumzike!! Zao zao era yake imetoweka na hairudi tena milele. For now tunafanya reshuffle hivyo mkae kwa kutulia 🤣🤣

Kufanya reshuffle ndio style ileile ya JPM toka mwanzo wa term hadi mwisho.... Na hii ndio CCM ileile ya kina lugola🤣🤣

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

Kaziinaendelea
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama umeacha Hayati Magufuli anatukanwa ovyo wanaomtukana ndio unawasikiliza kumbe mama uko hivyo mama wanao sisi hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo

Mama baba yetu ameondoka umetugeuka kumbe mama haukuwa na baba pamoja kwa nini mama unatufanyia hivi sasa wanao tumekukosea nini mama kwa kweli mama unafuata uongo unaozushwa mitandaoni ndo unaufanyia kazi kweli CCM mmenipa wakati wa mateso makali yasiyopimika
Pole sana Bw. Ole Sabaya! Arusha hatukupendi na ndio maana ya majungu yetu umeiona.
 
Hajui alifanyalo, wanaofanya hivyo wanajua nini wanakitaka, wanatambua wazi kwamba wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM, kumtukana JPM wanawachonganisha wapiga kura na chama hivyo watu watapiga kura za asira kukiadhibu chama, yajayo yanafurahisha, nadhani hawatambui nguvu ya JPM.
Wewe ni mbumbumbu eti wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM. Umetumia kigezo gani kuja na hiyo hoja?

Kama wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM kama unavyotaka kutuaminisha kwanini kwenye uchaguzi mkuu JPM aliruhusu uhuni kama ule kufanyika hali anajua ana mtaji mkubwa wa wapiga kura?

Amka usingizini kumekucha.
 
Babuuuh acha kumdhihaki mwendazake, hata km hukupendezwa nae, basi tumia hekima na busara ktk kuonesha chuki nae, sorry lakini.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nisamehe mpenzi. Vihasira vikichanganyika na K Vant huleta matatizo kwenye medulla...

Nisamehe hata kama hutanisahau basi...
 
Wewe ni mbumbumbu eti wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM. Umetumia kigezo gani kuja na hiyo hoja?

Kama wapiga kura wengi ni wafuasi wa JPM kama unavyotaka kutuaminisha kwanini kwenye uchaguzi mkuu JPM aliruhusu uhuni kama ule kufanyika hali anajua ana mtaji mkubwa wa wapiga kura?

Amka usingizini kumekucha.
Dogo ana akili za kisukuma gang...

Unapoteza muda wako kujibizana na vitoto vya shule za kata...
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
Umeshindwa hata kueleza wamekugeuka wapi na vipi.
 
Choma kadi na uhame. Huyo ndiye Rais anayejua uongozi. Anakinyoosha chama na nchi. Vyote vilipinda ikabaki udikteta.

Mungu ampe miaka mingi ya kuishi huyu Rais wetu kipenzi SSH ili aendelee kunyoosha nchi na Chama cha Mapinduzi. Fyekekea mbali Mungu watu na Dikteta wote. Heshima kwa mama.
 
Huyu ni Sabaya tu. Na simu inatakiwa wakupokonye kabisa maana naona unaendekea kutishia mitandaoni tena kwa matusi. Lucifer mkubwa. Panya road Rudi shimoni ukatulie.
 
Leo ndio umekili Magufuli alishinda kwa Mbinde. 2020 ndio kabisa asingeshinda. Mungu kqmnyanganya urais aliokuwa hastahili Kampa Mama.
My salute. Safi sana. Ukweli wote utaibuka. Zilitengenezwa karatasi za matokeo yakabandikwa. Kisa awe na bunge la chama kimoja ili apitishwe kuwa Rais wa Maisha. Mungu ni fundi. Yaani walitaka kuharibu Katiba ya nchi na Ile ya Chama cha Mapinduzi? Akaanza kutoa hongo kwa...........na yule aliyepinga nia yake ya umilele sijui hata yuko wapi.....hapa naona nitulie nimeze kwanza chai hapa. Fungua code.
 
Kufanya reshuffle ndio style ileile ya JPM toka mwanzo wa term hadi mwisho.... Na hii ndio CCM ileile ya kina lugola🤣🤣

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

Kaziinaendelea
Mwendazake muache sasa apumzike, huu ni utawala mwingine
 
Hilo sio la kuuliza.... ni utawala wa awamu ya 6 chini ya Ironlady SSH zao halisi la mwendazake

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

Kazi iendelee
 
Hehehe siamini kama kukosa zile Buku saba za Lumumba kutoka kwa chakubanga zinakutesa hvo...

Anachofanya Mama ni kupangua safu taratiibu,, tena hashirikishi mtu yoyote..
Anaenda na rhythm yake
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.

Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
😃😀😀,hawezi sikiliza wanaccm wa enzi zile anajua fika taifa mlisha taka lipeleka kuzim tulishafikia hatua ya kutozika tokana chuki zenu mlizopandikiza chin ya mwendazake,
Hii liwe funzo kwenu na vizazi vijavyo kwamba nyakati hubadilika,kuamini kile unachokiamini sio kubuluzwa kufuata mkumbo KWA sifa,propaganda kisa kumfurahisha mtu mmoja ,Angalia Sasa mnavyolalamika na kuangaika ,muombe mungu msamaha upate faraja ya moyo vinginevyo msongo wa mawazo utakuua
 
Nimepata mateso makali ambayo sijawahi kuyapata tangu nizaliwe kwenye maisha yangu huu mwaka sitausahau kamwe katika maisha yangu yoote

CCM niliipenda bila kujali masilahi tangu nikiwa mtoto mdogo nilikuwa sijielewi nimeendelea kuipenda hata wakati wa dhoruba ya uchaguzi mkuu wa 2015 niliiamini sana CCM na Masada wake akina Nape, kinana, na wengine walituambia kuwa tutaleta CCM imara mgombea imara.

Kweli Magufuli alishinda kwa mbinde sana lakini cha kushangaza kabisa walimgeuka.

Makubwa yametokea baada ya msiba Mama ametugeuka kabisa hataki kutusikiliza ameziba masikio kabisa sisu tuliopiga kura ameanza kutuadhibu tena adhabu kali mimi binafsi nina maumivu makali sana jamani kiukweli naumizwa na Chama changu nilichokipenda kwa dhati.

Mama Samia unatutesa sana sisi wapiga kura wa Chama cha mapinduzi wa enzi na enzi mama hautusikilizi tuliokipigania Chama bila malipo.
Wewe ni fisadi tu na mpiga dili. Huna lolote. Ccm mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom