Listi ni ndefu sana ukianza na Kamanda Mawazo uje kibiti, mateso ya Mheshimiwa LISSU, mauaji ya bin Raheebu wa Saananne.Acha uropokaji, taja ndugu zako waliouawa na sababu zake na kwa ushahidi.
Azory,ben Saa 8,lwajaba,dilunga,elisha eliya ,wa kwenye viroba coco beach,mauaji ya wasio na hatia kibiti wengi waliuliwa kwa kuhisiwa tu wakamuua Azory Ili kuficha ukweli,na wengine kibao waliohisiwa ni kigogo hali kigogo halisi still you hai.Acha uropokaji, taja ndugu zako waliouawa na sababu zake na kwa ushahidi.
Madikteta wote uishi kwa propaganda watu masikini wanyonge future less people ni rahisi kuwapropaganda sababu reasoning zao zipo chini sana hasa ukicontrol media umekamata akili zao furaha ya wanyonge ni kuona matajiri wakilia wao uamini unyonge wao umasikini wao umeletwa na matajiri.Huyu kiongoz jini dikteta na katiri inakuaje huko mtaani Raia bado wanamlilia?Ilikuaje raia walizimia na wengine kufa kwenye msiba wake?
Nyerere alimudu kutawala zama za gizaNyerere alikufa kwa kuwa hakuwa na utumishi uliotukuka?
Hivi kumbe Nyerere alifia madarakani?Nyerere alikufa kwa kuwa hakuwa na utumishi uliotukuka?
Kwahiyo hadi sasa mamilioni ya watanzania wanaomlilia ni kwamba bado Propaganda zinafanya kazi?Unataka Kusema nyie mnaompinga ndio mnaakili sana na hamfanyi Propaganda ila kwa wanaomlubali?Madikteta wote uishi kwa propaganda watu masikini wanyonge future less people ni rahisi kuwapropaganda sababu reasoning zao zipo chini sana hasa ukicontrol media umekamata akili zao furaha ya wanyonge ni kuona matajiri wakilia wao uamini unyonge wao umasikini wao umeletwa na matajiri.
CCM ikiendelea na kulinda makundi, kuunda mitandao ya maslahi binafsi, hapo tunaweza kupata kiongozi mbaya kuliko yule wa Awamu ya Tano.Hao Viongozi ndio CCM inawapenda na Itaendelea kuwaletea sana
Labda chawa na wapiga dili wa zama zakeKwahiyo hadi sasa mamilioni ya watanzania wanaomlilia ni kwamba bado Propaganda zinafanya kazi?Unataka Kusema nyie mnaompinga ndio mnaakili sana na hamfanyi Propaganda ila kwa wanaomlubali?
Usije sahau kuwa Magufuli tulimchagua sisi wenyewe kwa roho njema na safi.Kwahiyo hadi sasa mamilioni ya watanzania wanaomlilia ni kwamba bado Propaganda zinafanya kazi?Unataka Kusema nyie mnaompinga ndio mnaakili sana na hamfanyi Propaganda ila kwa wanaomlubali?
Ukishafika miaka sabini tu tayari wee ni mzee kabisa, ukianza 71 hiyo ni ziada na baraka tu kutoka kwa Mungu,Mzee miaka 77?
Joe Bidden ana umri gani?
Hapana huyo wenu tuliomba Mungu amuue/afe. Alikuwa muovu sana.Ajabu sana mkuu hebu soma comments humu ujionee mwenyewe watu wanao jiita ma GT wanacho kijadili.
Eti hadi Leo hii mtu anadai kuwa Magufuli kafa kwasababu hakuwa na utumishi ulio tukuka.
Anasema angekuwa na utumishi ulio tukuka angekuwa hai mpaka Leo.
Inamaana ma GT watu wenye akili kubwa humu wanaamini kuwa mtu akiwa kiongozi tu basi huwa hafi hadi amalize uongozi na akifa tu anakufa kwasababu yeye ni mtenda dhambi. Kwahiyo viongozi wote walio kufia madarakani duniani kote walikuwa watu wabaya sana ndio maana wakafa!!
Hongera sana ma GT wote Kwa mawazo yenu chanya.
Waliuawa ama ugonjwa?Kwahiyo viongoz waliofia madarakani uongozi wao haukutukuka?Akina Samora Machel,Sankara wote hawa uongozi wao ulikua mbaya sana na ndio maana walifia madarakani?
Lowasa ndie aliyeshinda ccm wakageuza upepo tukapata yaliyotupata.Usije sahau kuwa Magufuli tulimchagua sisi wenyewe kwa roho njema na safi.
Tulichokipata hakifai kuhadithia, hatukujua tumepata mtu mwenye visasi, roho mbaya, mkatili, mtu anayejiona yeye ndio kilakitu nchini.
Na bahati mbaya Katiba ilimpa hayo madaraka na kayatumia vibaya.
CCM wasirudie makosa.
Kwani hujui au ulikuwa bado hujazaliwaUnataka kusema Magufuli alikuwa mbaya?
Exactly !!Makundi huko CCM yaliasisiwa tangu enzi za Kikwete, wanaofuata wanaendeleza tu hiyo tabia, na pale ambapo viongozi wanajua wanachaguliwa ili wakale kwa urefu wa kamba zao lazima wachague kundi lenye nguvu ili wakatimize malengo yao.
Magufuli alikua kiboko ya mafisadi na waharifu. Kama uko kwenye hilo kundi lzm umchukie. Hakuna Raia mwema aliyemchukia MagufuliUsije sahau kuwa Magufuli tulimchagua sisi wenyewe kwa roho njema na safi.
Tulichokipata hakifai kuhadithia, hatukujua tumepata mtu mwenye visasi, roho mbaya, mkatili, mtu anayejiona yeye ndio kilakitu nchini.
Na bahati mbaya Katiba ilimpa hayo madaraka na kayatumia vibaya.
CCM wasirudie makosa.
Alistaafu kwa heshima na kuzeekaNyerere alikufa kwa kuwa hakuwa na utumishi uliotukuka?
Ndege ngapi zimetua Chato toka baada ya msiba?Magufuli alikua kiboko ya mafisadi na waharifu. Kama uko kwenye hilo kundi lzm umchukie. Hakuna Raia mwema aliyemchukia Magufuli
Alikuwa na mabaya yake na Mazuri mengi tu, Nchi zetu bila Mkuu kuwa mkali kidogo mambo hayaendi !! Kazi na bata sio saizi yetu ! Bado tupo chini sana !!!Sio mbaya tu bali alikuwa ni Jinamizi.