Alipomtaja Mbowe madawa ya kulevya yakaisha ufipaMadawa ya kulevya? Hujui kitu wewe ungenyamaza. Yeye ndio alikuwa akiwapa support Kinje na wengine kufanya biashara smoothly. Au ulikuwa hujaja mjini?
Hata chadema mnao wengi sana,myamaza tusije kuwaumbua humu.Chama Twawala kina makundi ya aina yote unayoyajua wewe mjini yaani vibaka,majambazi,wabakaji,waroho wa madaraka,nk.Sasa kwa mukitadha huo, kwanini Muhuni Makonda asipewe uenyekiti wakati Muhuni Herry James ni DC!
Yaani hujui hata unaongelea nini?. Yaani wanaccm wakimkataa Makonda kwa uhuni wake basi wao ni Chadema? Very stupid thinking. Nyie vijana mkoje? Ndio nyie mnasababisha chama kionekane kiko mikononi mwa wajinga kwa vile hamjui hata madhara ya jambo hilo.MAKONDA FOR CHAIRMAN[emoji736]
Ni haki yake kama mtanzania mwingine yeyote yule nchini.
Ukiachana na wahuni walioko CCM kwa sasa,"Asali Boyz"
Na washirika wao kina Zitto,kinachoendelea nchi hii ni kuwaharibia watu majina kwa tuhuma za kutengeneza ili wachafuke kisiasa.
Hakuna mahakama ambayo iliwahi kumtia Makonda hatiani kwa Jinai yoyote ile mpaka sasa.
Kwa hiyo anayo haki kwenda kukitumikia chama chake.
Nyinyi CDM mnaomkataa Makonda CCM anzeni kwanza ya huko kwenu,kwa kumkataa Mbowe,ambaye alikwishapatikana na kesi ya kujibu.
Sabaya meenyewe amewashinda,mmebaki kumtesa kihuni tu,kwa kuwa genge lenu ndio limeshika mpini kwz sasa.
Kagombee weweHivi ni vituko Yani hakuna wagombea wengine Hadi apewe Makonda
Aliyekwambia mimi ni mwana-CHADEMA ni nani?Hata chadema mnao wengi sana,myamaza tusije kuwaumbua humu.
Sasa wewe nalichadema lako mambo ya ccm yanakuhusu kivipiHii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Kumpa Uenyrkiti wa CCM mkoa wa Mwanza Makonda ni dharau kwa CCM na tusi kubwa.Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Uchaguzi ndani ya ccm anayeamua ni Mwenyekiti wenu? Sasa uchaguzi wa nini? Hovyo sanaHii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama Makonda ampigie debe.
Msichafue chama kwa kuruhusu mkoa mkubwa kama huo kumpa muhuni aongoze.
Malalamiko ya chini chini sio mazuri maana yanaweza tumika katika uchaguzi mkuu
Hilo Genge ndiyo lipi hilo??Sabaya meenyewe amewashinda,mmebaki kumtesa kihuni tu,kwa kuwa genge lenu ndio limeshika mpini kwz sasa.
Umeandika kama unakata gogo kuna herufi zimepotea hapo kati wakati unasukuma kombora dada!Yani Manda ampindue Dr dialo?
SawaSawa tu hata awe mwenyekiti taifa mana anayohaki hiyo kwa mujibu wa katiba.
#MaendeleoHayanaChama
CCM imelaaniwa.
Chama hiki kimeshindwa kutumia rasilimali asilia za nchi kuleta maendeleo kwa wananchi badala yake kinatumia tozo na mikopo
Peleka ushahidi mahakamaniHiyo mbwa ina kesi ya uporaji na mauaji, hayo ma idiots ndio yanataka awe kiongozi wao!!!