CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

ole wenu, mwizi huyo mtoto balaa kabisa, aibu tulizopata kupitia huyu mtoto zimetosha
 
Mtoa mada na wanaokusapoti mnasumbuliwa na wivu wa kike!

Chuki ya wivu wa kike huwa haiishi Leo wala kesho!

Munataka chuki zenu ziingizwe hadi kwenye katiba, kwamba munayomchukia basi afutiwe hata haki zake zote za kikatiba!

Laiti Kama akili zenu zingekuwa zinafanya kazi bila kupofushwa na wivu wenu wa kike mungelikuwa munaelewa kwamba watu wamepewa karama ya kubadilika kadri upepo unavyobadilika!
Kumbuka alikuwepo Makonda enzi za Jakaya na alikuwepo Makonda mwingine enzi za JPM.

Mwenyekiti wa chama na Mkuu wa Mkoa ni pepo mbili tofauti zinazovuma kwa kasi tofauti na kwa uelekeo tofauti

Uongozi chini ya JPM na uongozi chini ya SSH, Ni pepo mbili tofauti zinazovuma kwa kasi tofauti na kwa uelekeo tofauti.

Kila kiongozi huinama kuelekea upande ambao upepo huelekea kwa wakati huo!
 
Makonda anatakiwa kuwa mahakamani
 
Kwani yeye haruhusiwi kugombea? Kura itaamua na si maneno ya kwenye mitandao, kila mtu ana haki ya kugombea nafasi yoyote katika nchi hii irimradi anakidhi vigezo na utaratibu uliowekwa.
Sasa yule anakigezo gani?
 
Kama Makonda ana kashifa, nenda Mahakamani. Namshauri Makonda 2025 achukue Jimbo la Nyamagana maana kwa miaka hii 10 ni kama Jimbo halina Mbunge
 
Makonda system ya CCM ishamtema tangu enzi za uhai wa babake, kumkumbatia ni kutaka kuzikwa naye kaburi moja la kisiasa.
 
Wewe ni chadema in blood!

Kati ya Makonda na Makamba...nani Mwizi zaidi?

Kwa nini kakikundi ka watu kama nyinyi wapumbavu wenye chuki binafsi,waendesha magenge ya uovu mbajiona kama mko sahihi kuwaza kwa niaba ya watanzania milioni sitini?

Taja ubaya wa Makonda na madhara yake,au hasara aliyowahi kuisababishia nchi hii?

Kama huna shut Up Your MOUTH!!!
 
Mh Makonda ana Haki kimsingi kugombea na wanaotaka apite nao wapo sawa tu.Nje ya hapo mniambie ni nani aliye MSAFI NDANI YA CCM??
 
Sasa hapa Cha ajabu ni nini ndani ya ccm? CCM watu wenye makandokando/ matukio ya ajabu ndo wengi wapo kwenye nafasi za juu, au hili halihitaji phd kulifaham , ccm ni chama lakini pia ni chaka la watu wengi jifichia maovu yao HUKO,
 
Wewe kinachokuuma nini? Makonda atagombea kama wana CCM wengine. Akichaguliwa au akakosa ni demokrasia ndani ya chama. Acha kuweweseka dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…