CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

Awamu ya 5 au ya 6 is not an issue...

Ishu hapa ni watu hususani watawala kukosa hekima na ustaarabu wa kushindana na kujibizana kwa hoja badala ya kutumia ujambazi ktk kukabiliana na mpinzani wako kihoja...

Andiko la Yericko Nyerere liko very clear. Hamtetei Polepole bali anakemea watawala wanajitetea kwa kuwaumiza wapinzani wao kwa hoja kosoaji wanazozitoa dhidi yao serikali...
 
Kwa hiyo mjingawewe unafikiri ku-ignore hoja zake ndio unalipa kisasi? REVENGE IS FOR THE WEAK” Albert Einstein
 
Kwa hiyo mjingawewe unafikiri ku-ignore hoja zake ndio unalipa kisasi? REVENGE IS FOR THE WEAK” Albert Einstein
Anayemlipizia kisasi ni Nani?
Huyo anatapa tapa.
Mashujaa wa kukosoa serikali walikuwepo kipindi Cha MAGUFULI.
Wale ndo walikuwa majabali sio yeye
 
Anayemlipizia kisasi ni Nani?
Huyo anatapa tapa.
Mashujaa wa kukosoa serikali walikuwepo kipindi Cha MAGUFULI.
Wale ndo walikuwa majabali sio yeye
Unaona shida yako umeenda kumshambulia mtu na sio kujibu hoja. Jifanye humjui polepole , je alichokisema kinamantiki kama hakina toa mawazo yako.
 
Maneno mengi ya kinafiki ya nini?
Huyo Polepole aliazisha mada ya ufahari wa CCM kutumia ma V8.

Sasa yuko nje ya uongozi CCM, arejee msemo wake- unaijua Vieite wewe?

Leo hata yeye mwenyewe haelewi maana ya Vieite!
 
Jana Polepole aliwaambia hoja haipigwi rungu, nadhani utakuwa hukumsikia, hoja za Polepole zijibiwe kwa hoja, sio kejeli au vitisho, huu wako ni ushamba.
Mbona kipindi Cha magufuli alikua anaongoza genge la wahuni la kuwateka watu waliokua wanaikosoa serekali mbona alikua anawajibu kwa hoja
 
Unaona shida yako umeenda kumshambulia mtu na sio kujibu hoja. Jifanye humjui polepole , je alichokisema kinamantiki kama hakina toa mawazo yako.
Alishakosea tangu mwanzo KUINGIA CCM.
Wakati yeye alikuwa kiongozi alikuwa anaona anapatia.
Ila wenzie anaona wanakosea.
Huyo ni mpiga kelele tu.ndo maana wenzie wanampuuza.
Alishafundishwa kula nyama za WATU.leo anataka kuacha?
 
Umemjibu vyema anataka kupotosha maksudi
 
Vpi Rais Samia akifa saa hizi, watatwambia Mpango ni Rais wa awamu ya 7?

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Siyo kweli. Katiba hiyo hiyo inasema kama kiongozi atafariki au kupoteza sifa za kumalizia kipindi chake , miaka minne kabla hiyo itahesabiwa awamu kwa huyo makamu anaerithi. Ila ikiwa ni chini ya hapo ndiyo makamu atamalizia awamu husika . Kumbuka Samia amerithi madaraka miaka 4 na miezi 9 , all most 5 yrs.
 
Iyo tafsiri ya Awamu umeitoa wapi?

ZANZIBAR kuna Awamu ya 8 saivi Polepole amewai kuwa hadi mwenezi wa CCM ulimsikia wapi akihoji hayo?

Mwambie Polepole kuna matokeo ya kumdharau Amiri Jeshi Mkuu.

Kama anataka kuyapata Safari hii atayapata!

Awamu lazima iwe zao la general election. General election ya mwisho ya JMT ilikuwa October 2020!
 
Hizo awamu nane zilichaguliwa na wananchi.

Hii tuliyonayo ni awamu ya tano iliyochaguliwa 2015 mhula wa kwanza, na baadaye 2020 mhula wa pili.

#kataawahuni
Jibu hili swali 'Iyo tafsiri ya Awamu umeitoa wapi?'
 
Jibu hili swali 'Iyo tafsiri ya Awamu umeitoa wapi?' hiyo sheria unayoizungumza ni ipi hiyo inayotaja mambo ya awamu
 
Nimeipenda. Kikubwa tufunge mikanda ili mis zikianza tudigonganishe vichwa na kutapika.

"AN ENEMY OF THE PEOPLE" kitabu cha muda mrefu sana 1800s literature advanced level.
 
Unatokaje awamu ya tano kwenda ya sita bila kupewa ridhaa na Watanzania wengi?

Ilani anayoitekeleza ni ya awamu ya tano au ya sita?
Ingiza hili kwenye akili yako nyembamba. amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ya JMT mheshimiwa SSH aliingia madarakani kwa mujibu wa katiba ya JMT iliyopitishwa na bunge la JMT na kuapishwa kuwa Rais wa JMT. aliapishwa hivyo baada ya kuwa makamu wa Rais wa JMT katika serikali iliyoongozwa na jpm aliyefariki.

Kwa kuzingatia katiba ya JMT rais SSH ni rais halali wa JMT kwa utaratibu halali wa JMT. kwa kuwa hakuna mahali popote panapotoa muongozi wa kutaja uongozi wa rais fulani kuita uongozi kwa jina lolote ikiwemo mambo ya awamu, anayejua habari ya uongozi fulani ni wa awamu gani anayejua namba bora ya kutaja ni rais aliyeko madarakani. rais aliye madarakani ndie anayejua maslahi sahihi ya taifa hili na aweza kubadili maamuzi ya mtangulizi wake yeyote kwa maslahi mapana ya taifa na sio kwa kupata shinikizo kutoka popote. zoeeni tu hilo
 
Mkuu yeriko,anachokisema polepole nilikipost humu mapema sana,lakini ilipingwa.
Sina ujuzi wa kuirudisha hapa ile post.

Lakini jiulize Yeriko, angeachwa madarakani angeileta hii hoja hadharani?

Mkuu waache wavurugane kisha wamalizane wenyewe.
HII NI NAFUU KWA WAPINZANI,NA ULIMWENGU UFAHAMU CCM NI MAGAIDI WA NDANI YA TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…