CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

Wasirra amesema CCM haitawasikiliza wanaoukataa uwekezaji huo, mpango utaendelea kama ulivyo na ni kauli inayofanana na ya mama.
 
Spika mstaafu Mama Makinda alikuwa anamuelewa sana Tundu Lissu na wala mtafaruku huu usingekuwepo!
 
Ni jambo jema

Marekebisho ni hadi DP World wakubali

Wayahudi wakamwambia Pilato " Usiandike Mfalme wa Wayahudi bali andika Huyu alijifanya Mfalme wa Wayahudi"

Pontio Pilato akawaambia " Niliyoandika Nimeyaandika'
Ndo itakuwa hivyo hata kwa watanganyika, kama ambavyo wayahudi hawakuweza kubadili chochote bila ruhusa ya pilato
 
Waliopiga dili kuupitisha wataendelea kuwepo hapo kwenye mkataba, kinachofanyika sahivi wanaona bola nusu shari kuliko kukosa kabisa.
Hapo ni kuuondoa kabisa ili warudishe hizo pesa walizokula
Rushwa huwa hairudishwi, hawa hawa watapewa kazi ya kutafuta mwingine akina JK na Rostam
 
Kumekucha !!
 
Hizo ni gia za kutaka kurejesha Bungeni wazuge kuwa wanarekebisha ila utakaosainiwa mwisho wa siku ni huu huu?
 
Hizo ni gia za kutaka kurejesha Bungeni wazuge kuwa wanarekebisha ila utakaosainiwa mwisho wa siku ni huu huu?
Tukumbuke kuwa mkataba uliingiwa kinyemela zaidi ya mwaka mmoja uliopita.
Watu wenye uzalendo na nia njema na Taifa ndio waliouvujisha mkataba huu, na watu kusituka.
Sitegemei kama kuna kiongozi serikalini atafanya huu utopolo tena.
 
Kuna masikio yalikuwa yamezibwa
 
Tukumbuke kuwa mkataba uliingiwa kinyemela zaidi ya mwaka mmoja uliopita.
Watu wenye uzalendo na nia njema na Taifa ndio waliouvujisha mkataba huu, na watu kusituka.
Sitegemei kama kuna kiongozi serikalini atafanya huu utopolo tena.
Wanaweza kufanya wana jeuri sana
 
Bunge limesharidhia, nyingine zote ni siasa tu!
Katika siasa hakuna mtu conservative kama mkulima.
Mkulima wa kijijini akiamua hakuna bunge wala serikali wanaoweza kuwadhibiti, na ndiko tulikuwa tunaelekea.
Siyo bure kuwa kesi ya kupinga mkataba inafanyika Mbeya, ambako ndiyo makao ya wakulima Nane Nane, na ndiko makao ya Spika.
 
Sasa CCM imeamka usingizi wa pono!
Hawawatumi tena vibaka wa kisiasa, kina Kitenge, Zembwela na Hando kutetea Bandari saga.
Sasa Chongolo Katibu Mkuu mwenyewe ni kiguu na njia kulielezea suala la Bandari nchi nzima.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yes. Maslahi ya Taifa lazima yawe mbele. Haya ya kukataa wawekezaji au kuleta hoja nyingine mbadala ni kujaribu kuhamisha magoli.
Tunataka maslahi ya Taifa letu yawekwe mbele zaidi ya kitu kingine chochote. Na ni kwaajiri ya sisi na vizazi vyetu
 
Spika amejiangusha mwenyewe..wale wazee wa misimamo Mbeya sijui ataanza nao vipi
 
Jukwaani ni sawa na mdahalo wa wazi, ni ngumu kufake.

Hata chaguzi zetu zingekuwa za WAZI, TIJA ingeonekana.

Nashauri chaguzi zijazo zote,

Tupige KURA ZA WAZI majukwaani na mabarabarani.
 
CCM wasikilize ushauri wa kitaalam kutoka TLS,Lissu,SLaa,Shivji,Mwabukusi etc na si kina MSANDO wachumia Tumbo ambaye amezoea kusaini mikataba ya kupiga show za giggy money na Mapromota mkataba wa page moja tu.
Slaa yupi? Jerry au Wilbroad?
 
Kwani DP World wanatumiliki?
Hilo ndio lililoleta mtafarauku, DP World inabidi wafuate masharti ya nchi yetu kibiashara.
Kwenye zile terms za mkataba tume surrender kwa DPW. Akituonea huruma anaweza kukubali amendment
 
Hamna kitu kitabadilishwa kwenye mkataba,


Ccm wamejua tuwakubalie kuwa unamapungufu lakini utekelezaji uendelee kupunguza kelele. Ccm ni laaana, hiki chama kikitolewa madarakana kinatakiwa kitumike kufundishia mashuleni watoto kuwa kama shetani hawajawahi kumuona Tanzania tumeishi nae toka 1977.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…