CCM, Serikali Mbili Zilizoboreshwa, na Hatima Ya Muungano

Tunashukuru hatimaye umekuja kwenye mjadala licha ya sisi kukualika kwenye mijadala mingi inayohusu gharama za serikali mbili vis a vis tatu. Ni dhahiri sasa tumewakamata vibaya - mnaua chama chetu CCM kwa uroho wa madaraka, na pia muungano. Mnafanya mambo ya kijinga na kuacha ya maana. Hakuna lililo la kijinga kama hili la maboresho ya ccm. Mwalimu Nyerere coined this phrase - ya kijinga na ya maana, na sasa tunaona alikuwa ana maana gani.

Jana Jaji Warioba kaeleza vizuri sana wasaliti wa Nyerere na nani na kwa nini. Ulimsikia upo ulipo?

Sasa mjiandae na hoja yetu juu ya kwanini serikali mbili ni gharama kuliko serikali tatu. Tunaandaa uzi mahususi kabisa juu ya hilo. Tukiwaalika msikimbie.

For now juu ya gharama, jibu hoja nilizojadili kwenye bandiko la huko nyuma ambalo niliku "cc".

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Kwanza naomba uelewe kuwa jaziba katika mijadala ni dalili ya kukosa hoja.

Hii dhana ya kusema kwa maandiko ya jaziba na malalamiko kuwa tunakiua "chama chenu" inaonyesha kimantiki kuwa unapiga debe tupu kwa sababu kama kweli kingekuwa ni chama chako na unawafahamu watu wanaokiua basi ungekuwa tayari imechukua hatua ya kuwafukuza katika "chama chako".

Sina cha kuchangia kwa sasa zaidi ya hiki unachokisoma kwa sababu ninasubiri utuwekee hapa Rasimu Mbadala yenye serikali mbili zilizoboreshwa katika hard copy au soft copy kama ulivyotuahidi.

Siwezi kuanza kuchangia hoja ambayo bado ni hearsay au iliyojengwa kwa mtazamo wa kifikra katika utashi wa kufurahisha nafsi.

Ninasubiri pia audio ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Migiro kama ulivyoahidi kuhusu mabishano ndani ya kikao wakati akiwasilisha "Rasimu mbadala" kwenye Halmashauri Kuu ya CCM.

Majadiliano yenye hekima na busara huwa yanafanyika tu kama kuna nguzo iliyosimama ya kile kinachojadiliwa, kwa maana kuwa kama kuna hoja kamilifu.
 
MwanaDiwani , nakukumbusha kidogo kuwa umesahau kujibu hoja zangu. Najua ulitoweka kwa shughuli, kwavile umerejea zitendee haki.

Ili kuweka rekodi vema, nikuulize swali. Hivi si kweli kuwa rasimu ya CCM iliwakilishwa NEC na Asha Rose. Na je si kweli kuwa aliyeandaa mmoja wao ni Andrea Chenge? Just kuweka rekodi sawa.

Ahsante
 
Last edited by a moderator:

Unakwepa hoja - nilikuuliza - nikiweka hapa audio clips husika utasema ni za kuchakachua? Mbona unakwepa swali la msingi kabisa? Nguruvi3 ameli rephrase hapo juu kwa faida yako na wana jamvi.

Nimeona content ya rasimu mbadala ya CCM iliyowasilishwa na Asha Migiro mwishoni mwa mwezi wa PILI mwaka huu. Rasimu hii ipo mikononi mwa watu wengi tu, na hata baadhi wa wajumbe wa BLK wanayo (majina yanahifadhiwa kwa sasa), na wapo walio hoji - kulikoni vurugu hizi za CCM, kwani rasimu waliyoenda jadili wajumbe ni ya tume, sio hii ambayo imeandaliwa na hao Nguruvi3 aliowataja.

Sina haja ya kuiwasilisha humu zaidi ya hayo niliyojadili. Imepigwa mhuri wa "SIRI", kwahiyo najua unalenga nini katika hili. Nimewasilisha yaliyomo, hasa yale muhimu, na yamekugusa ndio maana umekuja humu. Ingekuwa ni hearsay usingekuja humu.

Kama ni hearsay, tutendee wema kwa kujibu maswali yaliyoelekezwa kwako, kisha uende zako.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtazamo wangu binafsi, huwezi kuwa mwanachama wa CCM mzuri kama unatumia akili zako vema.
Ili uweze kudumu ndani ya CCM lazima ukubali hukumu na kifungo cha kisiasa.
Lazima useme ndiyo hata kama unaamini ni hapana.

Huwezi kuamini maprofesa, madaktari wa falsafa, matibabu, wanasheria na wachumi wanapoitwa na Nape Nanuye na kuambiwa semeni ABCD kwa formula ya don't ask
Ni mtazamo binafsi tuendelee na mada.
Mkuu Nguruvi3, nimeguswa na hii post, na kiukweli naianzishia thread ili na mimi nitoe mtazamo wangu!.
Thanks for this!.

Pasco
 
Mijadala mikubwa na mizito kama hii niliiona kitambo sana hapa JF...naona inarudi tena hasa nyakati hizi muhimu :
Hili swali la kwanini maCCM wanaogopa Tanganyika na S3 halina ufafanuzi wa kutosha na hawana hoja! Imepita wiki sasa maswali 7 ya Jaji Warioba hayajatolewa majibu na CCM na sidhani kama kuna uthubutu huo.

Mi nadhani, uchu na uroho wa madaraka ndio msingi mkuu wa CCM kukataa S3 hapa niwakumbushe tu kuwa pendekezo la rasimu ya katiba inapunguza idadi kubwa sana ya viongozi wabunge na mawaziri na ulaji ndo utapotea.
 
ZANZIBAR YAONJA JOTO YA JIWE LA SERIKALI MBILI

Kwa mujibu wa ripoti zilizothibitishwa, Waziri wa Fedha wa Zanzibar hivi karibuni alikwenda ziarani India, na moja ya malengo ya ziara hiyo ilikuwa ni kuomba mkopo wa $200 Million kusaidia Zanzibar katika utekelezaji wa miradi yake kadhaa ya maendeleo. Alichokumbana nacho Waziri Omar Yusuf Mzee ni maelekezo kwake kutoka serikali ya India kwamba "hawezi pata mkopo huo bila ya kupata saini ya Serikali ya Muungano".

Kama mnakumbuka, tulijadili awali kwamba chini ya serikali mbili zilizoboreshwa, hata kama Zanzibar itapata mamlaka yake kwa mujibu wa katiba yake ya (2010), bado utekelezaji wa mambo mengi, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kukopa utaendelea kujaa utata. Tukasema kwamba hakuna mazingaombwe yoyote yatakayoipa Zanzibar mamlake yake bila ya kuzinduliwa kwa Tanganyika.

ANGALIZO MUHIMU:
Fedha hizi za mkopo zililenga kutekeleza miradi kama vile:

*matengenezo ya barabara kuu inayoingiza unguja.

*uimaishaji wa mfumoo wa maji safi na maji taka.

*vifaa vya afya hospitali ya rufaa.

Masuala yote haya hayapo katika orodha ya masuala 22 ya Muungano. Tulijadili kwa kina awali kwanini pamoja na mambo kama haya kutokuwa ya muungano, bado Tanganyika inayasimamia kwa koti la Muungano.

Hapa ndio hoja ya awali ya Nguruvi3 inapochukua nafasi yake - kwamba kwanini watanganyika waendelee kubeba gharama zisizowahusu???

Barua husika ya kukatalia Zanzibar Mkopo ni barua ya serikali ya india yenye kumbukumbu Na: DAR/Com/230/7/2013, iliyoandikwa tarehe 23 Aprili 2014. Barua hiyo ipo hazina na wizara ya mambo ya nje ya Tanzania kama nakala.

Tofauti na nyaraka ya rasimu mbadala ya CCM ambayo ina mhuri wa SIRI, barua hii ya serikali ya India haina usiri wote hivyo nawasilisha reference zake for anyone interested kufuatilia hazina au mambo ya nje.

Cc Mwigulu Nchemba

Mr. Hearsay MwanaDiwani
HKigwangalla, Nape Nnauye, Anna Tibaijuka, Ezekiel Maige, @Dr F. Ndungulile, Pasco, Barubaru, Mzee Mwanakijiji, Yericko Nyerere, chama, Gamba la Nyoka, Mtanganyika, Ritz, FJM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
ZANZIBAR YAONJA JOTO YA JIWE LA SERIKALI MBILI

Barua husika ya kukatalia Zanzibar Mkopo ni barua ya serikali ya india yenye kumbukumbu Na: DAR/Com/230/7/2013, iliyoandikwa tarehe 23 Aprili 2014. Barua hiyo ipo hazina na wizara ya mambo ya nje ya Tanzania kama nakala.

Tofauti na nyaraka ya rasimu mbadala ya CCM ambayo ina mhuri wa SIRI, barua hii ya serikali ya India haina usiri wote hivyo nawasilisha reference zake for anyone interested kufuatilia hazina au mambo ya nje.

Cc Mwigulu Nchemba

Mr. Hearsay MwanaDiwani
HKigwangalla, Nape Nnauye, Anna Tibaijuka, Ezekiel Maige, @Dr F. Ndungulile, Pasco, Barubaru, Mzee Mwanakijiji, Yericko Nyerere, chama, Gamba la Nyoka, Mtanganyika, Ritz, FJM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu Mchambuzi, kwenue utumishi wa` umma, mawasiliano yote ya kiofisi ni siri za ofisi, iwe iligongwa muhuri wa siri au la, bado ni siri za ofisi!.

Mimi nilipokuwa mtumishi wa umma hapo TBC, nilitimuliwa kazi kwa a simple letter iliyoandikwa "imethibitika sina uwezo wa kazi nilioajiriwa!".

Mimi nilikuwa mtu wa watu!. Kabla hata sijatimuliwa mtu wa confidential kwa nia njema, alinitip nini kimetua kwenye "confidential file langu!" ila akanisihi ikijulikana tuu, nitakuwa nimemfukuzisha kazi!.

Nilipopokea barua ya summary dismissal, nilijifungashia virago vyangu nikarejea mtaani na mpaka leo, sijawahi tena kuomba ajira yoyote!, niko mtaani more than ten years, sijawahi kusema popote kilichonitoa TBC!.

Hivyo ulicheleta hapa ni "siri ya serikali!".

Pasco
 
Mchambuzi
Ninaposema umejikita kwenye ujinga nipo sahihi na nasimamia ninachoongea; CCM tumesema wazi misimamo yetu ni serikali 2 na huo ndio uamuzi uliopitishwa na wajume walio wengi; na tulisema mwanachama ambaye haridhiki na maamuzi ya chama yupo huru kuondoka aende kule kwenye watu wenye mitazamo kama yake; sasa kama kutoa uhuru wa kumfanya mwanaCCM afanye maamuzi ya kuondoka au kubaki ni vitisho basi wewe utakuwa ni mjinga wa mwisho kuwaamini hao unaodai kuwa ni wengi; kuna mahusiano makubwa sana kati ya hoja na mtoa hoja ndio maana nakujadili wewe sio mwanaCCM ni katika wale waliokimbia baada ya kukosa nafasi za uongozi ndani ya taasisi za chama; hivi kwa akili hizi kelele za JF ndio zitatengeneza katiba? au kuifanya CCM tubadili misimamo yetu ambayo inauungwa mkono kwa asiliamia kubwa na wanachama wetu?? Duru za siasa tumemwachia Nguruvi3 alikimbia jukwaa la siasa sasa tukija huko itakuwa ni kumuonea!
 
Last edited by a moderator:
MwanaDiwani , nakukumbusha kidogo kuwa umesahau kujibu hoja zangu. Najua ulitoweka kwa shughuli, kwavile umerejea zitendee haki.

Ili kuweka rekodi vema, nikuulize swali. Hivi si kweli kuwa rasimu ya CCM iliwakilishwa NEC na Asha Rose. Na je si kweli kuwa aliyeandaa mmoja wao ni Andrea Chenge? Just kuweka rekodi sawa.

Ahsante

Ulitaka rasimu ya CCM NEC iwakilishwe na Lissu?? Yaani kuna wakati mnakosa ya kusema au ya kuuliza kutokana na kuijpa hamaki za kijinga! Asha Rose; Andrea Chenge ni wanaCCM wana haki zote kushiriki kwenye masuala ya CCM
 
Mkuu Mchambuzi, kwenue utumishi wa` umma, mawasiliano yote ya kiofisi ni siri za ofisi, iwe iligongwa muhuri wa siri au la, bado ni siri za ofisi!.

Mimi nilipokuwa mtumishi wa umma hapo TBC, nilitimuliwa kazi kwa a simple letter iliyoandikwa "imethibitika sina uwezo wa kazi nilioajiriwa!".

Mimi nilikuwa mtu wa watu!. Kabla hata sijatimuliwa mtu wa confidential kwa nia njema, alinitip nini kimetua kwenye "confidential file langu!" ila akanisihi ikijulikana tuu, nitakuwa nimemfukuzisha kazi!.

Nilipopokea barua ya summary dismissal, nilijifungashia virago vyangu nikarejea mtaani na mpaka leo, sijawahi tena kuomba ajira yoyote!, niko mtaani more than ten years, sijawahi kusema popote kilichonitoa TBC!.

Hivyo ulicheleta hapa ni "siri ya serikali!".

Pasco
Basi hatari kwani barua nimeonyeshwa kivukoni area nilipokuwa nanunua mandazi na chai.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ulitaka rasimu ya CCM NEC iwakilishwe na Lissu?? Yaani kuna wakati mnakosa ya kusema au ya kuuliza kutokana na kuijpa hamaki za kijinga! Asha Rose; Andrea Chenge ni wanaCCM wana haki zote kushiriki kwenye masuala ya CCM
MwanaDiwani kasema Asha Rose na Andrea hawakufanya kitu hicho. Akataka Mchambuzi amthibitishie.

Nilichofanya ni kutaka tu kuwa na rekodi. Mchambuzi kasema aliyewasilisha ni Asha. MwanaDiwani anasemaje? Ni hilo wala halina tabu yoyote.
Sisi wengine hatujui tunajifunza ndio maana tunauliza.
 
Asante kwa kulisemea hilo. Nyaraka ipo, audio clips za mjadala ndani ya NEC zipo. Ukizisikia huwezi amini ndio wale mle ndani ya BLK, kwani mle wanaufyata. Ndani ya NEC wanaeleza haya haya tunayoeleza kwamba - serikali mbili zilizoboreshwa hazitekelezeki, na kwamba watapata wakati mgumu sana wa kutetea hilo kwenye BLK. Kikao kikaisha wajumbe wakiwa wamegawanyika sana. Baadae, Nape Nnauye akaenda kwenye press conference na kusema haya ya chama kwamba eti msimamo wa NEC ni mmoja.

How pathetic.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi
Ninaposema umejikita kwenye ujinga nipo sahihi na nasimamia ninachoongea; CCM tumesema wazi misimamo yetu ni serikali 2 na huo ndio uamuzi uliopitishwa na wajume walio wengi; na tulisema mwanachama ambaye haridhiki na maamuzi ya chama yupo huru kuondoka aende kule kwenye watu wenye mitazamo kama yake; sasa kama kutoa uhuru wa kumfanya mwanaCCM afanye maamuzi ya kuondoka au kubaki ni vitisho basi wewe utakuwa ni mjinga wa mwisho kuwaamini hao unaodai kuwa ni wengi; kuna mahusiano makubwa sana kati ya hoja na mtoa hoja ndio maana nakujadili wewe sio mwanaCCM ni katika wale waliokimbia baada ya kukosa nafasi za uongozi ndani ya taasisi za chama; hivi kwa akili hizi kelele za JF ndio zitatengeneza katiba? au kuifanya CCM tubadili misimamo yetu ambayo inauungwa mkono kwa asiliamia kubwa na wanachama wetu?? Duru za siasa tumemwachia Nguruvi3 alikimbia jukwaa la siasa sasa tukija huko itakuwa ni kumuonea!

Haujajibu hoja bali unaendeleza vijembe ambavyo ni jadi yenu "waharibifu wa chama". Utamaduni wa vijembe haukuwepo kabla ya 2005, viongozi na makada walitumia nguvu za hoja, walitetea wananchi, ndio maana kuelekea 2005, Kikwete akashinda kwa kura nyingi sana. Haitatokea tena mgombea wa CCM kushinda kwa asilimia zaidi ya sitini, na hii ni kwa sababu ya watu kama wewe, na aina ya uanachama na uongozi mliofundishwa baada ya 2005.

Kuhusu Nguruvi3 kukimbia jukwaa la siasa, hii sio kweli. Mdau huyu ametuletea nyuzi nyingi sana chini ya title "duru za siasa", na mmekuwa mkizikimbia licha ya kualikwa.

Hii ya sasa tumewashika pabaya, ndio maana mnakuja huku kuogelea ogelea tu. Mliambiwa na viongozi wa chama "na nyinyi semeni semeni huko, msiache waseme wao tu". Mseme nini? Hilo hamjaambiwa. Ukiamua kutukana kina jaji warioba, ukiamua kudanganya, ukiamua ratibu mpango wa kutoboa macho watu, ruksa, utalindwa na chama, as long as mnalinda maslahi ya viongozi wenu hao wakupita.

Hakuna cha kusema kwasababu S2 hazina maelezo na wala hawawezi kuzitetea. Angalia, nyuzi nzima tumeuliza jinsi gani S2 itaondoa kero, hakuna, narudia hakuna hata mmoja anayekuja na solution.

Wao hoja yao ni S3 na Warioba. Ndiyo njia nyepesi ya kuziba ombwe la hoja linalowakabili.

Njia nyingine ni kuharibu mijadala kwasababu hakuna hoja ya kutetea S2
Mag3 kaweka video ya Warioba ITV na jinsi teknoloji ilivyotumika. Suala la Takwimu kimyaa

Wamezusha eti kuna gharama za kuendesha S3, tukawaambia hakuna jumla.
Kilichopo ni fiscal autonomy.
Tuna mambo 7 tu ya pamoja, mengine kila mmoja ashughulike nayo.

S2 ndicho chanzo cha Watanganyika kulipia watalii 81 kutoka nchi jirani kwenda Dodoma kupiga soga.
10M X 12 x 5 X 81
Halafu wanasema S3 ni ghali, hivi ni ghali kuliko watu 81 wanaokuja Dodoma kupiga soga kutoka nchi jirani.!!
 
Haujajibu hoja bali unaendeleza vijembe ambavyo ni jadi yenu "waharibifu wa chama". Utamaduni wa vijembe haukuwepo kabla ya 2005, viongozi na makada walitumia nguvu za hoja, walitetea wananchi, ndio maana kuelekea 2005, Kikwete akashinda kwa kura nyingi sana. Haitatokea tena mgombea wa CCM kushinda kwa asilimia zaidi ya sitini, na hii ni kwa sababu ya watu kama wewe, na aina ya uanachama na uongozi mliofundishwa baada ya 2005.

Kuhusu Nguruvi3 kukimbia jukwaa la siasa, hii sio kweli. Mdau huyu ametuletea nyuzi nyingi sana chini ya title "duru za siasa", na mmekuwa mkizikimbia licha ya kualikwa.

Hii ya sasa tumewashika pabaya, ndio maana mnakuja huku kuogelea ogelea tu. Mliambiwa na viongozi wa chama "na nyinyi semeni semeni huko, msiache waseme wao tu". Mseme nini? Hilo hamjaambiwa. Ukiamua kutukana kina jaji warioba, ukiamua kudanganya, ukiamua ratibu mpango wa kutoboa macho watu, ruksa, utalindwa na chama, as long as mnalinda maslahi ya viongozi wenu hao wakupita.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchambuzi
wewe ni kinachokusumbua ni machungu ya kukosa nafasi za uongozi; CCM haijakataa kama kuna kero za muungano; CCM haijakataa kuyafanyia kazi kuondoa kero hizo; wajinga nyie badala ya kujadili muundo wa katiba ambayo itamlinda mtanzania mnateka kuuteka nyara mswaada mzima uwe ni kero za muungano; watanzania wanataka katiba ambayo itawalinda muungano ni sehemu ndogo sana ya mapendekezo ya katiba; chama kimetoa maelezo mengi sana kwa nini hatuihitaji serikali 3; kuyarudia humu ni kupoteza muda tu; wewe ndio umeshikwa pabaya uliyoyategemea siyo jiulize nini kilikukimbiza CCM jiangalie kwenye kioo utapata majibu. CCM tunakubalika sasa tushinde kwa asilimia 90, 70,au 55 bado ni washindi tunakubalika na walio wengi; uroho wa madaraka ni kitu kibaya na ndicho kinachokuponza; kwenye siasa kuna kushinda na kushindwa; mwanasiasa makini ni yule anayekubali matokeo; kuuana mtauna nyie waroho sisi CCM tunamwaga elimu kwa watanzania. wewe sio msafi kimaadili ni machungu tu kukosa; mliingia CCM kutafuta ulaji baada ya kuukosa matokeo yake ndio haya; hamtuumizi wala kutunyima usingizi!
 
Last edited by a moderator:
MwanaDiwani kasema Asha Rose na Andrea hawakufanya kitu hicho. Akataka Mchambuzi amthibitishie.

Nilichofanya ni kutaka tu kuwa na rekodi. Mchambuzi kasema aliyewasilisha ni Asha. MwanaDiwani anasemaje? Ni hilo wala halina tabu yoyote.
Sisi wengine hatujui tunajifunza ndio maana tunauliza.

Basi majibu ndio hayo ridhika nayo!
 
Ndugu, maneno mengi ya nini?.

Mmesema mna copy na audio za Rasimu mbadala ya katiba ambayo iliwasilishwa kwenye Halmashauli Kuu ya CCM.

Nimewaomba muweke hapa ili tuanze kuchangia kwa kuziangalia ibara zake moja baada ya nyingine badala ya kutuletea ibara kutoka katika fikra zenu. Nimewambia Rasimu Mbadala haiwezi kuwa na ukurasa mmoja hasa ukichukulia kuwa Rasimu ya sasa iliyoko mezani ina kurasa zaidi ya 106.

Rasimu ya Katiba kwa sasa inachambuliwa na Bunge Maalum huku wabunge wakiwa na nakala za copy juu ya meza wakati ninyi mnataka tuchambue nakala ya fikra zenu ambazo mnadai ndiyo Rasimu mbadala ya katiba.

Nafikiri mnafahamu kuwa JF is the Home of Great Thinkers, Where we Dare to Talk Openly!

Nimewambia kuwa, jaziba au spinning za kisiasa haziwezi kuwaletea kile mnachokitaka kwa hali na mali kutoka kwa wananchi walio wengi bali mtawapata wale ambao Mwl. Nyerere katika kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania aliwabainisha na kusema,
watu wenye nia mbaya, wa Bara na Visiwani, wanaopenda kuitumia hali hiyo kuivunja nchi yetu wanaendelea kufanya hivyo. Na wale, wa huku na huku, wanachocheana kama mifukuto ya shetani. Na hiyo inawafanya hata watu wasio na nia mbaya ila ni wajinga tu, waamini kuwa inafaa wote tushiriki na tujiandae kuivunja Tanzania tusije tukashtukia kuwa Tanzania imevunjika na tumeachwa katika mataa!
 
Basi majibu ndio hayo ridhika nayo!
Comrade, Mimi ninawashangaa hawa "great thinker" ambao wanadai wana nyaraka za CCM zinazoitwa Rasimu Mbadala zinazoambatana na audio lakini tukiwaambia waziweke hapa ili tuzijadili sura kwa sura, ibara kwa ibara, wanachofanya nikuanza kutafuta uharali wa kile wanachodai wanacho kutoka kwa watu wengine.

Yaani mtu ana vizibiti halafu anawauliza wapita njia wengine kama wataamini kama ana vizibiti. Ebo!. Weka vizibiti vyako kwanza wananchi wavione ili wapate fursa ya kujibu maswali yako.

Ninatumaini hawaleti utani kwenye suala muhimu la mwelekeo wa Taifa letu.
 
Ndugu, maneno mengi ya nini?.

Mmesema mna copy na audio za Rasimu mbadala ya katiba ambayo iliwasilishwa kwenye Halmashauli Kuu ya CCM.

Nimewaomba muweke hapa ili tuanze kuchangia kwa kuziangalia ibara zake moja baada ya nyingine badala ya kutuletea ibara kutoka katika fikra zenu. Nimewambia Rasimu Mbadala haiwezi kuwa na ukurasa mmoja hasa ukichukulia kuwa Rasimu ya sasa iliyoko mezani ina kurasa zaidi ya 106.

Rasimu ya Katiba kwa sasa inachambuliwa na Bunge Maalum huku wabunge wakiwa na nakala za copy juu ya meza wakati ninyi mnataka tuchambue nakala ya fikra zenu ambazo mnadai ndiyo Rasimu mbadala ya katiba.

Nafikiri mnafahamu kuwa JF is the Home of Great Thinkers, Where we Dare to Talk Openly!

Nimewambia kuwa, jaziba au spinning za kisiasa haziwezi kuwaletea kile mnachokitaka kwa hali na mali kutoka kwa wananchi walio wengi bali mtawapa wale ambao Mwl. Nyerere katika kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania aliwabainisha na kusema,
Hoja yangu ni rahisi, Mchambuzi katueleza rasimu ilifikishwa NEC na akamtaja Asha Rose
Wewe unasemaje, haikufikishwa au ilifikishwa?

Ni hilo, hayo ya kuleta nyaraka n.k. mimi sijayaulizia. Nina uliza kitu kimoja based on conversation yenu wawili.
Mmoja anasema ilitendeka, wewe wa pili unasemaje?
 
Mchambuzi
wewe ni kinachokusumbua ni machungu ya kukosa nafasi za uongozi; CCM haijakataa kama kuna kero za muungano; CCM haijakataa kuyafanyia kazi kuondoa kero hizo; wajinga nyie badala ya kujadili muundo wa katiba ambayo itamlinda mtanzania mnateka kuuteka nyara mswaada mzima uwe ni kero za muungano; watanzania wanataka katiba ambayo itawalinda muungano ni sehemu ndogo sana ya mapendekezo ya katiba; chama kimetoa maelezo mengi sana kwa nini hatuihitaji serikali 3; kuyarudia humu ni kupoteza muda tu; wewe ndio umeshikwa pabaya uliyoyategemea siyo jiulize nini kilikukimbiza CCM jiangalie kwenye kioo utapata majibu.

CCM tunakubalika sasa tushinde kwa asilimia 90, 70,au 55 bado ni washindi tunakubalika na walio wengi; uroho wa madaraka ni kitu kibaya na ndicho kinachokuponza; kwenye siasa kuna kushinda na kushindwa; mwanasiasa makini ni yule anayekubali matokeo; kuuana mtauna nyie waroho sisi CCM tunamwaga elimu kwa watanzania. wewe sio msafi kimaadili ni machungu tu kukosa; mliingia CCM kutafuta ulaji baada ya kuukosa matokeo yake ndio haya; hamtuumizi wala kutunyima usingizi!
Ni kweli kukubaliana na matokeo ni uungwana. Hata hivyo matokeo hayo lazima yawe na haki. Kuchakachua siyo matokeo ni uhuni na hutuwezi kuuvisha koti la ushindi hata kwa bahati mbaya hasa kama wapo wanaotumia vichwa.

CCM wangekubalika wasingeweka kura ya wazi na siri ambayo haijawahi kutumika tangu taifa hili limezaliwa.
Kura hiyo haijatumika Pinda akizaliwa wakati wa Tanganyika, au Mwingulu Nchemba wakati wa nchi ya Tanzania bara.

CCM wangekubalika wasingeogopa rasimu kufikishwa mbele ya mahakama ya wananchi.

Kuhusu CCM kumwaga elimu, hilo tumeliona vema kwa akina Nchemba na wengine baada ya Ukawa kutoka.
Elimu kuu ilikuwa mipasho,matusi n.k. hakuna aliyetetea S2 kwa hoja.

Hivi kusimama na kusema tunataka S2 tu inatosha kuwa elimu? unless elimu ina maana nyingine
Kumtukana Salim, Butiku na Warioba ndiyo'elimu ya uraia'
 
Back
Top Bottom