CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

Hajawahi kufanya vizuri kwenye eneo lolote kwa wizara yoyote ile!

Hajawahi kufanya ubunifu wowote kwenye sector yoyote ile

Amehusishwa na makandokando kibao, na iwapo kitengo husika kikaamua kufuatilia makandokando yake, lazima atoroke

Ni kiongozi dhaifu sana na mwenye kubebwa bebwa tuu

Ni eneo lipi tunaweza kusema, kazi zake na usimamizi wake unaweza kummbeba?

Ni kiongozi anayeamini kwamba, pesa ni kila kitu na kwamba, pesa inaweza kununua uongozi!

Huyu hafai hata kujaribisha!

Siku CCM mmetuwekea January Makamba kuwa mpeperusha bendera ya Urais kwenye chama, mtakuwa mmetudharau sana watanzania!

Kama dhalimu aliweza kuwa rais wa nchi hii, kila mtu ataweza. Isitoshe uongozi wa nchi hii haupatikani kwa ridhaa ya wananchi bali kikundi kidogo kinachojiita system. Kama hao system wanamuelewa itatumika mbinu ya kunajisi uchaguzi kama alivyokuwa anafanya dhalimu ili awe rais.
 
Hajawahi kufanya vizuri kwenye eneo lolote kwa wizara yoyote ile!

Hajawahi kufanya ubunifu wowote kwenye sector yoyote ile

Amehusishwa na makandokando kibao, na iwapo kitengo husika kikaamua kufuatilia makandokando yake, lazima atoroke

Ni kiongozi dhaifu sana na mwenye kubebwa bebwa tuu

Ni eneo lipi tunaweza kusema, kazi zake na usimamizi wake unaweza kummbeba?

Ni kiongozi anayeamini kwamba, pesa ni kila kitu na kwamba, pesa inaweza kununua uongozi!

Huyu hafai hata kujaribisha!

Siku CCM mmetuwekea January Makamba kuwa mpeperusha bendera ya Urais kwenye chama, mtakuwa mmetudharau sana watanzania!
Na ni kudharau hata taasisi yenyewe ya urais na sio huyo tuu hata kutuwekea mwigulu nchemba pia ni kuidharaulisha sana sana taasisi ya urais nchini.
 
Back
Top Bottom