CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

Siyo yake binafsi hata mimi naunga mkono. Ni kutudharau watanzania kufikiria makamba anafaa kuwa rais. Ni dharau kubwa sana kwetu. Najua kuna pesa tunakula kwake kipindi hiki kwa kumpamba na kumuandaa ila tuache njaa pembeni. Jamaa ni bogus
Labda mnaowaita watoto wa mjini na wenye Chama chao wanataka kupanga safu yao ya First Eleven ili wawe wanaachiana Usukani! Akitoka mtoto wa fulani atamwachia mtoto wa fulani ! Hapo mambo yatakuwa bambam !! Etc, Etc !!
 
Hilo halitokaa litokee Abadan.

Kuna mtu huyo ndio tatizo hapa nchini anaruhusu uhuni wote huu uendelee kwakua ananufaika.

Ila yote haya Yana mwisho wake.
 
Hapa umegonga penyewe mkuu
Hapana huwa iko hivi wale wenye hadhi huwa hawataki kubow kwa walioshika mpini ndio maana huwa wanadhibitiwa mapema kabisa kwa kutumia mbinu nyingi pamoja na mbinu ya kuwachafua !!
 
H
Makamba hana ufanisi wowote zaidi ya kubebwa na jina la baba yake. Bora nchi isiwe na raisi itakwenda tu kuliko makamba sijui mwigulu wote hawa ni shallow
Hata Baba yake nae Hana lolote
 
ingekuwa hivyo sasa hivi Polepole angekuwa Katibu Mkuu wa Ccm, Dr Bashiru Ally angekuwa bado KK, Samia angekuwa bado Makamu
Deep state wanachafuliwa ili waonekane si mali kitu ili wasioitakia mema Nchi wafanye mambo yao !!
Lakini Mwenyezi Mungu Atatenda yake !!
 
Back
Top Bottom