CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

Hayo ni Mawazo yako binafsi
Jonn mbatizaji hivi unaangalia maslahi ya Taifa Kwanza au maslahi ya yako na CCM mwanzo hadi mwisho.

Toka January Angie madarakani umeme unakatika, Bwawa la umeme linasuasua,?
Inaathiri mamilioni ya maisha ya Watanzania kwenye kipato na familia.

Amefanya hata kitu kipi kimoja kuwasaidia Watanzania?
 
Hajielewi huyu John

Siku zinakuja, hakuna atakayetamani kukikalia KITI hicho.

Kitakuwa Cha motoooo, hakikaliki.

Tusubiri.
 
Kwa sifa zipi?
Huu ni mwaka 2023. Rais SSH anagombea 2025. Kuongelea uchaguzi wa 2030 leo, ni ukosefu wa maarifa. Wazungu wanaita Premature Ejaculation.

Na hizo pesa mnazopewa na Mzee wa Singida Big Stars kumchafua Waziri mwenzake humu pia ni ukosefu wa maarifa.
 
Anaamini rushwa ndio akili ya kuongozea nchi
 
Naunga mkono hoja ila ni zamu ya mkristo

USSR
Huyu kipara ni mwizi mwenye roho mbaya kuliko mamvi hivyo hafai kwa chochote. Pia nani kakwambia kuwa dini ina msaada kwenye nchi?
 
Vijiji 2000 havina Umeme REA? Ni sawa na asilimia ngapi kwa vijiji vyote Tanzania ikiwa vijiji vyote nchini ni vijiji 12,319 kwa mujibu wa sensa ya makazi na watu ya hivi karibuni.

94% ya vijiji 12,319 ni vijiji 11,580 na hivyo asilimia 6% iliyobaki ni 12,319-11,580 ambapo ni vijiji 739, hivyo vingine vinatoka wapi?

Makamba wewe ni mtu wa hovyo sana!
 
Mpaka leo January bado ni waziri wa wizara hii nyeti kabisa

Hii, wagosha
 
Itakuwa ni uhuni bin dharau bin upuuzi!
makamba huyuhuyu jamani!
Yaani nitahamia Zimbabwe kuliko kuwa Tanganyika na sitorudi tena!
 
Back
Top Bottom