CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania


Kama dhalimu aliweza kuwa rais wa nchi hii, kila mtu ataweza. Isitoshe uongozi wa nchi hii haupatikani kwa ridhaa ya wananchi bali kikundi kidogo kinachojiita system. Kama hao system wanamuelewa itatumika mbinu ya kunajisi uchaguzi kama alivyokuwa anafanya dhalimu ili awe rais.
 
Na ni kudharau hata taasisi yenyewe ya urais na sio huyo tuu hata kutuwekea mwigulu nchemba pia ni kuidharaulisha sana sana taasisi ya urais nchini.
 
Haujadharauzika ila utakuwa umeuzwa na kununuliwa,wewe ni bidhaa adimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…