CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

Ulishapata nakala ya kitabu I am the state,?
 
Hayo ni Mawazo yako binafsi
Siyo yake binafsi hata mimi naunga mkono. Ni kutudharau watanzania kufikiria makamba anafaa kuwa rais. Ni dharau kubwa sana kwetu. Najua kuna pesa tunakula kwake kipindi hiki kwa kumpamba na kumuandaa ila tuache njaa pembeni. Jamaa ni bogus
 
Arudishe wapi?

Huyu jamaa anaamini pesa inaweza kununua uongozi, ni bule kabisa
Kina misiba bado mpo mnaendelea kuchafua watu bila sababu wala ushahidi wowote ule. haya January Makamba anqbebwa ni wazir gani ambaye habebwi? Ni waziri gani mbunifu
Kachukue pesa yako utulie wewe wapiga kura hawapo jf alishindwa kambale utaweza wewe unayetumia I'd fake?
 
Njia ya kupambana January asiwe Rais sio kusema hafai au kutangaza hafai…njia sahihi ni kutuonesha anaefaa

hata Wapinzani hutumia nguvu kubwa kutuambia CCM hafai badala ya kutuambia wao kwanini wanafaa

kwa watoto wadogo 1995-2005 ilitumika nguvu kubwa sana kutuambia Jakaya hafai badala ya kutuonesha anaefaa

kusaidia Nchi yetu ni kututajia anaefaa nae apitishwe kwny chujio analopitishwa January
 
Tanzania haijawahi kuwa na deep state.

Rais mwnyewe ndio deep state.
 
Siyo yake binafsi hata mimi naunga mkono. Ni kutudharau watanzania kufikiria makamba anafaa kuwa rais. Ni dharau kubwa sana kwetu. Najua kuna pesa tunakula kwake kipindi hiki kwa kumpamba na kumuandaa ila tuache njaa pembeni. Jamaa ni bogus
Ni bogus kweli maana hata mtihani wa kidato cha sita aliiba. Akafutiwa matokeo .

Tuna bahati mbaya mno ya kupata viongozi vilaza.
 
We nani
 
Tanesco na LPG na ndio maana hakauki mdomoni mwako 🤣🤣
 
ingekuwa hivyo sasa hivi Polepole angekuwa Katibu Mkuu wa Ccm, Dr Bashiru Ally angekuwa bado KK, Samia angekuwa bado Makamu
Sijakuelewa.

Wote hao wametolewa na Rais, Sasa sijui unabisha kipi
 
Mmoja wapo ni huyu Mtanzania mwenzetu January Makamba, na sio kwamba hatumpendi, ila kwa sababu ya umhimu mkubwa wa nchi yetu na ikizingatiwa kwamba, Dunia imetutangulia mbele mno, kujaribu kuifukuzia tukiwa na viongozi dhaifu, ni kupoteza muda njiani, huyu hatufai, na sio kwamba hatufai wananchi peke yake, bali hata yeye anajifahamu kuwa hana uwezo, ila kwa kubebwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…