Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Jonn mbatizaji hivi unaangalia maslahi ya Taifa Kwanza au maslahi ya yako na CCM mwanzo hadi mwisho.Hayo ni Mawazo yako binafsi
Jonn mbatizaji hivi unaangalia maslahi ya Taifa Kwanza au maslahi ya yako na CCM mwanzo hadi mwisho.
Toka January Angie madarakani umeme unakatika, Bwawa la umeme linasuasua,?
Inaathiri mamilioni ya maisha ya Watanzania kwenye kipato na familia.
Amefanya hata kitu kipi kimoja kuwasaidia Watanzania?
Vigumu sana kupata watu wanaopigania maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi, familia, ukabila, dini.Hajielewi huyu John
Kweli kabisa !Vigumu sana kupata watu wanaopigania maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi, familia, ukabila, dini.
Kwa sifa zipi?JANUARY MAKAMBA ANAFAA SANA KUWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Huu ni mwaka 2023. Rais SSH anagombea 2025. Kuongelea uchaguzi wa 2030 leo, ni ukosefu wa maarifa. Wazungu wanaita Premature Ejaculation.Kwa sifa zipi?
Karma !Siku zinakuja, hakuna atakayetamani kukikalia KITI hicho.
Kitakuwa Cha motoooo, hakikaliki.
Tusubiri.
AiseeUnakuta alieanzisha thread kalipwa na Mwigulu
100% CORRECTHuyu January wala simuoni kama presidential material Sisi kwanini watu wanamtajataja,namuona kama mhuni fulani tu hivi kama baba yake.
Huyu kipara ni mwizi mwenye roho mbaya kuliko mamvi hivyo hafai kwa chochote. Pia nani kakwambia kuwa dini ina msaada kwenye nchi?Naunga mkono hoja ila ni zamu ya mkristo
USSR
Aisee!J. Makamba is a great man [emoji67]