GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
So what's the point? Umesikia haya ni mashindano ya mpira? Do you know what democracy is? What is 'Ukubwa wa chama'? Very useless argument
unaelewa nn kuhusu democracy mkuu ama mpaka marekani waseme ni demokrasia
 
CCM ndani ya Tanzania ndio chama Bora zaidi, mfumo na muundo wa CCM hakuna hata chama kimoja ndani ya Tanzania ambacho kinafikia hata robo ya umadhubuti wake.
Watanzania kama walivyo binadamu wengine yeyote anapenda kujaribu kitu kipya hili ndio lilipo.
Ninahakika ikitokea awamu yeyote CCM ikatolewa madarakani awamu inayofuata kitarudi madarakani na kitaongoza kwa muda mrefu zaidi maana historia wanayoitaka itakuwa imeshaandikwa ya namna vyama vya upinzani vilivyovichanga kupewa mamlaka makubwa ya kuongoza nchi.
 
sahihi kabisa mkuu
 
Kwa nini kinaogopa uchaguzi huru ? Kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?
 
Sio kirahisi ila chama legelege kwenye dola na dolari!
 
unaelewa nn kuhusu democracy mkuu ama mpaka marekani waseme ni demokrasia
Democracy na chama kinachoongoza nchi tangu uhuru ni chama kimoja! That's not democracy! Ni danganya toto! Hakuna mashindano ambayo mshindi ni mmoja since kuanzishwa hayo mashindano! Hata hao marekani wanabalance Democrats & Republican ili kuwe na mzania sawa.
 
uchaguzi huru ni mpaka kiongozi wako ashinde mkuu au sio
Uchaguzi huru ni Uchaguzi ambao tume nzima ya uchaguzi haitakuwa inateuliwa na mwenyekiti wa CCM na kusimamiwa na makada wa CCM kama maafisa uchaguzi.
 
Democracy na chama kinachoongoza nchi tangu uhuru ni chama kimoja! That's not democracy! Ni danganya toto! Hakuna mashindano ambayo mshindi ni mmoja since kuanzishwa hayo mashindano!
ndo maana nkakuuliza unaelewa nn kuhusu democracy, chama ni usajili wa kikundi ila binadam hubadilika, ingekua labda kiongozi ndo yule yule toka mwanzo apo ungesema amna democracy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…