GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
nan alisema ni legelege mkuu, kina wachama wengi kushinda vyaam vyote afrika afisa
Legelege kwenye nyanja zote,uongozi,utawala,uchumi,haki,sheria,diplomasia,demokrasia,ushirikishwaji iwe wa jamii,kimaadili,huduma za jamii.Sijui ubora wao upo wapi,labda kwenye utekaji,uuwaji,ukosefu wa haki na ukandamizaji wa wananchi kiitikadi,kidemokrasia,kwenye haki,kwenye ukandamizaji kiuchumi na uovu wenye kuwa nufaisha wachache.
 
umesafiri nchi ngap mkuu
 
historia kidogo mkuu
Ulitakiwa ulete historia ambayo ni akisi/"relevant", mfano usema uchaguzi wa mwaka fulani CCM ilishindana na chama X kukiwa na tumu huru ya uchaguzi na wapinzani wakiwa na nguvu na bado ikashinda kwa kishindo bila figusu au kubebwa na dola.
 
mm sjaongelea uchaguzi mkuu, nmeongelea nayakati za watu walioshindana na ccm
 
Ujinga ujinga wa watz tu CCM ni.wepesi sana
 
ndo maana nkakuuliza unaelewa nn kuhusu democracy, chama ni usajili wa kikundi ila binadam hubadilika, ingekua labda kiongozi ndo yule yule toka mwanzo apo ungesema amna democracy
So what's the point ya kuwa na democracy? Maana democracy ipo kwa ajili ya kubalance, Hilo ndilo lengo kuu, kuwa na chama kimoja kisicho katika ushindani sahihi dhidi ya wenzake inathibitisha wazi kwamba hakuna demokrasia! Unaelewa?
 
Drone ni ngumu kuelewa inatumwa jinsi ilivyopangwa.
 
Kivip?
Wameshindwa kuendesha mrad wa BRT kwa ufanis watakuwa na weledi upi wa zaid?

Ni polisi tu ambao wengi wao pia hawapendi maisha mabovu wanayoishi!
 
Kivip?
Wameshindwa kuendesha mrad wa BRT kwa ufanis watakuwa na weledi upi wa zaid?

Ni polisi tu ambao wengi wao pia hawapendi maisha mabovu wanayoishi!
mradi wa BRT unaendeshwa kwa patnership ya sekta binafsi kuweka ufanisi, kwa kua ndo tumeanza huduma hii changamoto hazikosekan ila saahv kuna njia amepewa mtu tafauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…