demokrasia haiendean na siasa za afrika, same way afrika mtoto lazima achapwe ndo awe mtoto boraSo what's the point ya kuwa na democracy? Maana democracy ipo kwa ajili ya kubalance, Hilo ndilo lengo kuu, kuwa na chama kimoja kisicho katika ushindani sahihi dhidi ya wenzake inathibitisha wazi kwamba hakuna demokrasia! Unaelewa?
Usicho jua wewe na kushindwa kutumia akili ni kwamba Samia akubaliki hata ccm anakubalika na genge la Raia feki kina zungu Rostam azizi singasinga waarabu na lige genge kibaraka la msoga wanao tumiwa kama toilet paper kufanikisha agenda za Raia feki kufanya state capture...hivyo ni tofauti na unavyo dhani wewe sasa hivi inaitajika cheche moja tu sahihi samia na ccm inadondoka mazimaHakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa
kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah. Waliteka ndege ya Air Tanzania Corporation (ATC) aina ya Boeing 737 Lengo kuu la utekaji huo lilikuwa kushinikiza kujiuzulu kwa Rais wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere, wakipinga sera zake za ujamaa na utawala wake
Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari ya ndani ya nchi kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam (Ijumaa, Februari 26, 1982) lakini ililazimishwa kuruka kwenda Nairobi, Jeddah (Saudi Arabia), Athens (Ugiriki), na hatimaye ikatua Stansted, Uingereza (Ulaya), ambapo tukio hilo liliisha
Kwa kipindi kile kulikua na kiongozi mmoja maarufu anaitwaa Oscar Kambona, vijana hawa waliamini oscar atawaunga mkono kwa walichofanya lakini mwisho kabisa Waetekaji walijisalimisha kwa polisi wa Uingereza huko Stansted na walipelekwa mahakamani nchini humo. Waliachia mateka wote salama ingawa kuna ripoti zinazokinzana kuhusu kama kulikuwa na vifo wakati wa utekaji kabla ya kutua Stansted
Kwann natoa mfano huu: Yawezekana kuna watu wanaamini kabisa wanaweza wakaamua mda wowote kumuondoa kiongozi yoyote madarakani kisa kiongozi wao hajashinda uchaguzi, hilo haliwezekani
CCM ni chama chenye siasa pana ukanda wote wa afrika na hakuna chama kinaweza kufika ata robo ya ukubwa wake, CCM kilipata utambulisho rasmi kama chama kikubwa kuliko vyote afrika mwaka 2010, mpaka mwaka 2022 CCM ilikua mpaka kutambulika kama chana #10 dunia nzima,
CCM inaheshimika sana katika harakati nyingi za barani afrika kuanzia ukombozi wa nchi kadhaa mpaka siasa zaa ujumla ndan ya afrika, hivo tunaweza kusema CCM ndo chama kikuu afrika!
umekunywa dawa zako leo? sasa ulitaka wote ccm kila kitu atakachosema samia tufuate au unadhan uku ni kama ule upande alivoshinda akaanza kubagua ambao hawakumpigia kuraUsicho jua wewe na kushindwa kutumia akili ni kwamba Samia akubaliki hata ccm anakubalika na genge la Raia feki kina zungu Rostam azizi singasinga waarabu na lige genge kibaraka la msoga wanao tumiwa kama toilet paper kufanikisha agenda za Raia feki kufanya state capture...hivyo ni tofauti na unavyo dhani wewe sasa hivi inaitajika cheche moja tu sahihi samia na ccm inadondoka mazima
Samia kajichafua na damu hadi za watu wa ccm wenzake ni kitu kipya ..pia anatumia wazanzibar kuua watu na kuwatishaumekunywa dawa zako leo? sasa ulitaka wote ccm kila kitu atakachosema samia tufuate au unadhan uku ni kama ule upande alivoshinda akaanza kubagua ambao hawakumpigia kura
Kukimbia na kuua hadi wanachama wa chama chako wanao kukosoa no tofauti kumbuka jpm walinasa hadi maongezi ya kumpindua kitini jpm kutoka team msoga kina nape na January na makamba nk ila awakufanya chochote..sa100 anatuma wauaji makanisani ....kafungia kanisa kisa watu kuhoji watekajimbna kitu cha kawaida, 2015 mgombea alikimbia kabisa akaenda upinzan
ndo siasa hio, icho ni kitu cha kawaidaa ccm wengi wameshakomaa kisiasa, ni kama vile trump nae alivokua anakoswa na snaipa kwenye kampeni zake, yaani hayo mambo ya kawaida sana ukiamua kujitosa we jitose sio unafinywa kidogo milio mingi, wakina jpm walishatoa ushuhuda wa kunyweshwa sumu na yakapitaKukimbia na kuua hadi wanachama wa chama chako wanao kukosoa no tofauti kumbuka jpm walinasa hadi maongezi ya kumpindua kitini jpm kutoka team msoga kina nape na January na makamba nk ila awakufanya chochote..sa100 anatuma wauaji makanisani ....kafungia kanisa kisa watu kuhoji watekaji
Even maandamano ya kuangusha serikali ni kitu cha kawaida piando siasa hio, icho ni kitu cha kawaidaa ccm wengi wameshakomaa kisiasa, ni kama vile trump nae alivokua anakoswa na snaipa kwenye kampeni zake, yaani hayo mambo ya kawaida sana ukiamua kujitosa we jitose sio unafinywa kidogo milio mingi, wakina jpm walishatoa ushuhuda wa kunyweshwa sumu na yakapita
ndo maaana na ccm wenyewe wanasema hakuna cha nywi nywi walaa nyiii, kitakachotokea uko we kubaliana nacho ulikitaafutaEven maandamano ya kuangusha serikali ni kitu cha kawaida pia
Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa
kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah. Waliteka ndege ya Air Tanzania Corporation (ATC) aina ya Boeing 737 Lengo kuu la utekaji huo lilikuwa kushinikiza kujiuzulu kwa Rais wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere, wakipinga sera zake za ujamaa na utawala wake
Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari ya ndani ya nchi kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam (Ijumaa, Februari 26, 1982) lakini ililazimishwa kuruka kwenda Nairobi, Jeddah (Saudi Arabia), Athens (Ugiriki), na hatimaye ikatua Stansted, Uingereza (Ulaya), ambapo tukio hilo liliisha
Kwa kipindi kile kulikua na kiongozi mmoja maarufu anaitwaa Oscar Kambona, vijana hawa waliamini oscar atawaunga mkono kwa walichofanya lakini mwisho kabisa Waetekaji walijisalimisha kwa polisi wa Uingereza huko Stansted na walipelekwa mahakamani nchini humo. Waliachia mateka wote salama ingawa kuna ripoti zinazokinzana kuhusu kama kulikuwa na vifo wakati wa utekaji kabla ya kutua Stansted
Kwann natoa mfano huu: Yawezekana kuna watu wanaamini kabisa wanaweza wakaamua mda wowote kumuondoa kiongozi yoyote madarakani kisa kiongozi wao hajashinda uchaguzi, hilo haliwezekani
CCM ni chama chenye siasa pana ukanda wote wa afrika na hakuna chama kinaweza kufika ata robo ya ukubwa wake, CCM kilipata utambulisho rasmi kama chama kikubwa kuliko vyote afrika mwaka 2010, mpaka mwaka 2022 CCM ilikua mpaka kutambulika kama chana #10 dunia nzima,
CCM inaheshimika sana katika harakati nyingi za barani afrika kuanzia ukombozi wa nchi kadhaa mpaka siasa zaa ujumla ndan ya afrika, hivo tunaweza kusema CCM ndo chama kikuu afrika!
Nikuulize .CCM mwezangu tukubali hapa katikati tumepoteza sana😂😂😞
Sielewi msingi wa swali hili, kwani sikuyasoma hayo maandishi yaliyo jibiwa...Mama Abduli alikuwa na wadhifa gani ktk Ccm wakati wa vita vya ukombozi kusini mwa Afrika?
Dah,siasa ni michezo tu mkuu usiweke userious sana
Nikuulize .
Hivi kweli bado unaamini CCM kama chama bado ipo?
Usizungumzie historia ya hicho chama, zungumzia yaliyopo sas
Je zakwako tayari?Samia kajichafua na damu hadi za watu wa ccm wenzake ni kitu kipya ..pia anatumia wazanzibar kuua watu na kuwatisha
ccm ni michezo usiihangaike kwa sababu ya kikundii, binadam hulka zetu ni sawaDah,
Kwa sasa siyo mchezo tena mkuu, wananchi wamechoshwa na utapeli, wizi, udanganyifu na hadaa za watawala wanaopatikana kwa kuiba uchaguzi..
View: https://x.com/Nipashetz/status/1746897669929292081?t=sCKgMQBF86NDG5E9Jma40w&s=19
View: https://youtube.com/shorts/R8yUXS2XkQE?si=OdiMykE5CzkUdxOT