GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mchimba madini ashauri waandamanaji wasihurumiwe walegezwe, huu ni ushenzi na ni uchochezi raia waumizwe
 
Unaizungumzia CCM gani hiyo ?

Hii hii ambayo bila polisi sio chochote???

Hii ambayo makada wake ndio wanasimamia maigizo yaitwayo uchaguzi kwa mwamvuli wanaouuita tume huru ya uchaguzi?
kwaan kuna chama afrika kinaweza kukaa nafasi ya ccm?
 
rushwa ufisadi ni tatizo, ila hii ni hulka ya binadam sio tatizo la chama! Kwenye pesa ata undugu unaweza kupotea ni hulka ya kibinadam kusema ccm itoke madarakani kama suluhisho la rushwa hio ni uongo kwan sisi wenyewe wananchi wa kawaida tukipataga naafasi izo hatuziachi, ni kama kusema mwanamke anasusia ndoa kisa mwanaume kachepuka, kuna vitu unavipuuziia kwa manufaa mapana

Kuhusu maendelea, serikali kazi yake ni kuweka mipango sio kuwaletea ela, maendelea huaa yanaletwa na wananchi wenyewe, hakuna serikali inatengeneza simu, hakuna serikali inatengeneza computer hizi ni bunifu za raia mmoja mmoja hivo basi wewe unatakiwa kufocus na sera za kukuwezesha kufanya maendeleo na sioo kusema mbna nchi maskini, we vp kwanza mmechagua chama kwa ajili yaa kupokea ela kila mwezi?

kingina unatakiwa uelewe mfumo wa uchumi unaondesha dunia ni CAPITALISM(UBEPARI) ukizembea unaachwa hivo unatakiwa uchacharike ukipata nafasi unaitumia ndo maaana yaa ubepari
Biblia inasema Wenye nacho huongezewa, wasio kua nacho ata kile kidogo wanachukuliwa
 
Sielewi msingi wa swali hili, kwani sikuyasoma hayo maandishi yaliyo jibiwa.

Ni maoni yangu kuwa hilo ni swali la uonevu ((unfair); kwani Samia hata kubalehe alikuwa bado enzi hizo.
kwaan wap ushawahi kuona dunia iko Fair? unajua maaana ya ubepari?
 
Nikuulize .
Hivi kweli bado unaamini CCM kama chama bado ipo?

Usizungumzie historia ya hicho chama, zungumzia yaliyopo sasa.
sio historia ccm ni chama kikubwa kuliko vyote afrika taarifa zipo
 
jikite kwenye hoja

..Ccm ya sasa hivi ni tofauti kabisa kiitikadi, kimtizamo, na kimfumo, na Ccm ya wakati wa vita vya ukombozi.

..Na vita vya ukombozi walioshiriki ni WATANZANIA sio chama. Dhana kwamba msaada ulitolewa na chama, na sio nchi, ni upotoshaji.
 
..Ccm ya sasa hivi ni tofauti kabisa kiitikadi, kimtizamo, na kimfumo, na Ccm ya wakati wa vita vya ukombozi.

..Na vita vya ukombozi walioshiriki ni WATANZANIA sio chama. Dhana kwamba msaada ulitolewa na chama, na sio nchi, ni upotoshaji.
unajua wangap walipinga mwalimu kwenda kusaidia nchi zingine kupata ukombozi? unajua kaponea kupinduliwa mara ngap
 
unajua wangap walipinga mwalimu kwenda kusaidia nchi zingine kupata ukombozi? unajua kaponea kupinduliwa mara ngap

..Nimekwambia walioshiriki vita vya ukombozi ni WATANZANIA haikuwa suala la uchama.

..Na hata OAU kulikofanyika maamuzi kuwa Tanzania ndio iwe makao makuu ya kamati ya ukombozi ya nchi za Afrika tulishiriki kama NCHI / WATANZANIA.

..Hata wakufunzi waliokuwa wakitoa mafunzo ya kijeshi kwa wapigania uhuru toka nchi mbalimbali zilizokuwa chini ya wakoloni walitoka JESHINI na sio katika chama.

Cc Nguruvi3
 
Kama Rushwa na ufisadi ni tatizo, hutokana na hulka ya mtu na CCM imeshindwa kudhibiti kwanini isiachie wanaoweza kupambana na hvo? mtoa mada kuna maswali hujanijibu mengine...Tafadhari huu ni mjadala wa hoja mimi sio mwanasiasa na sina chama.. kwahyo usikasirike ukaniletea kruza..
 
huezi thibiti tabia ya mtu, ni kitu ambacho kipo, mfano 2015 pesa hio hio ilitumika na lowasa akapata chaama! kiuhalisia kwenye issue za pesa let is slide wewe angalia vya muhimu, hata ivo pesa haina thamani ivo unavodhan , uchumi ni nadharia kwaa ajili ya kuendesha tu jamii lakini haina thamani kiasi icho uanvodhan, kulinganisha pesa na uhai ni kukosa nifhan kwa uumbaji
 
kwamba swala la ukombozi ilikua agenda ya OUA πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , unalewa ukiwa pande gan
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna wazazi wa vijana wataita media wakijiliza liza kutafuta huruma ya umma
 
Bla blah nyingi, unaleta jangwa tu tu kwa kumaliza miti bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…