Ili tuelewe kwanini msijadili kwa kuzingatia sheria ya utumishi wa umma inasemaje badala ya kutujazia blah blah za kisiasa.
Ninachokiona, huu mjadala umejaa wapinga kila kitu, waunga mkono kila kitu na wale wa roho za kwanini ambao labda maisha yameshawachapa wako stuck kwenye nyumba za shemeji zao.

Kama mh. Rais angetoa maagizo hayo kwakuzingatia sheria za utumishi wa uma basi na sisi tungelijadiri kwa kutumia kanuni za utumishi.
Ndio maana nimehoji pendekezo la kubadiri kanuni kwaajiri ya waliokuwa watumishi wa TMAA?
Kwani niwatumishi wangapi waliohamishwa kwa sababu ya utendaji wao? Je nao wabadirishiwe kanuni??.