CCM, tafuteni namna ya kumshauri Rais Magufuli maana muda mwingine anaumiza sana

CCM, tafuteni namna ya kumshauri Rais Magufuli maana muda mwingine anaumiza sana

Jiwe ashauriwe na nani wakati yeye anajiona jiniasi wa kila kitu , kila fani anaijua kaisomea , atashauriwa na nani ? Au umesahau walipomshauri wakaambiwa wanaowashwawashwa . Mshamba na Limbukeni ni tatizo kweli eti waliboronga ? Mamlaka za kinidhamu ziliwavhukulia hatua gani ? Au nchi hii hakuna sheria za utumishi ?
 
Wewe nawe usilete ushabiki wa vyama hapa.
1.tundu lissu alistahili kilichompata, huyo niadui wetu sote watanzaia.
2.seth na lugemalila nikweli wameliibia hili taifa na hawataki kurudisha wangerudisha wangekuwa uraiani.
3. Ben sa8 no comment, maana cjui chochote kuhusu yeye zaidi yakusikia tu, inaweza kuwa kweli katekwa au kajiteka pia, maana wa tz nao kwakutengeneza story za kuchafuana tumo.
Naona umekubaliana nami kuwa jiwe ni dikteta (yuko juu ya sheria). Ndiyo maana umeunga mkono.

Kwahiyo jiwe ni Mungu wa watanzania.. anaweza kuamuru wanadar es salaam wauawe na asifanywe lolote.
 
Hapo hata mwezi hajamaliza, hivi mpaka ifike mwaka itakuwaje?
Miaka mitano je?

Janga mlilolichuma wenyewe kwa raha na furaha zenu
 
Wewe nawe usilete ushabiki wa vyama hapa.
1.tundu lissu alistahili kilichompata, huyo niadui wetu sote watanzaia.
2.seth na lugemalila nikweli wameliibia hili taifa na hawataki kurudisha wangerudisha wangekuwa uraiani.
3. Ben sa8 no comment, maana cjui chochote kuhusu yeye zaidi yakusikia tu, inaweza kuwa kweli katekwa au kajiteka pia, maana wa tz nao kwakutengeneza story za kuchafuana tumo.
Sexless siku hizi hapati michongo ndiyo maana ana hasira sana na Magufuli, inaonekana alikua anawachuna sana Mafisadi ambao Sasa hivi Magu kawabana no Mpunga!!
 
Naona umekubaliana nami kuwa jiwe ni dikteta (yuko juu ya sheria). Ndiyo maana umeunga mkono.

Kwahiyo jiwe ni Mungu wa watanzania.. anaweza kuamuru wanadar es salaam wauawe na asifanywe lolote.
Kama una information za Ben watonye Police wazifanyie kazi usikae nazo zimwagwe wenye fani yao wachunguze na watatupa majibu! Police bila information kutoka kwa Raia wema hawawezi peke yao maana wao siyo Malaika wa kujuwa yanayofanyika sirini!!
 
Mkuu hapo kwenye "bung..." weka "rubber stamp" maana lilishapoteza hadhi na mvuto ni kama kijiwe cha story na "unywaji kahawa"
 
Umeonge cha maana.Ila ni ngumu pia kumpata mwenye ujasiri wa kumshauri kwa dhati mkuu wa nchi. Wengi wao wanaangalia mstakabali ugali wao tuu.wasichofahamu leo kwa huyu kesho kwao
 
Kwa vile u mwana CCM nadhani nikupe ubeti huu na ka chachandu kidogo:

Kama namba mtasoma, kama tusomavyo sisi,
Awamu hii ya neema, labda kwa makasisi,
Kanda yetu ya Musoma, labda pia busisi!
Ni jambo la kheri sana, hasa kulimia meno!

Cc: Senzighe wa Senzighe
 
Sidhani kama nivizuri kuwasema watumishi wale ambao wengine bado wapo ndani ya wizara na tume kuwa walifanya kazi za ovyo. Katika hili ajue tume hiyo ilianzishwa na serikali iliyokuwepo chini ya Rais kama yeye, hivyo kabla ya kuwatukana wale amtukane kwanza Rais aliyekuwepo.
Sikubaliani na wewe, rais aliyekuwepo kama yeye hakuwatuma wafanyakazi hao kufanya kazi za ovyo.
 
Watu walipwe kulingana na uzalishaji wao, kwa vile waliboronga kazi basi ni busara wapunguziwe mshahara kufidia hasara waliolisababishia taifa na tena walipaswa kustaafishwa kabisa, rais ana huruma.
Mm sitetei uzembe Ila kauli ya Rais itaumiza wengi nyie pigeni makofi ipo siku mtalilia chooni
 
Hakuna hata mmoja mwenye guts za kuhoji kitu kwenye hilo genge,hapo ni mwendo wa kusifu na kumuabudu tuuuu
 
Sikubaliani na wewe, rais aliyekuwepo kama yeye hakuwatuma wafanyakazi hao kufanya kazi za ovyo.

Kiujumla hawakufanya kazi ya hovyo, nawangefanya ya hovyo nadhani Rais aliyekuwepo asingeacha iwe ya hovyo.

Ila kwa maono yake ilikuwa niya hovyo! Is fine , hivyo alivyokuja! Alitakiwa tu aboreshe kwa kuwatumia waajiriwa hao hao na kuwatumbua sasa wakiwa hapo hapo!! Maana alishasema huwezi kumuhamisha mtu aliyefanya madudu.

Kumbuka kuwa ...uongozi ni VISION hakika hatata yeye akumbuke alikuwa ktk serikari hyo hyo wakati ule, hivyo hata yeye akitoka Rais atakae kuja atakuja na Vision yake!

Sasa nikuulize swali, Rais ajaye naye akisema wafanyakazi wa TRA wanamshahara mkubwa nao wabadirishiwe kanuni ili wapunguziwe km hawataki waache kazi hyo itakuwa nisawa???

Mfano!
Wakati anamtoa kichele TRA kwenda kuwa Ras nae alimpunguzia mshahara??

Wakati anamtoa Andengenyee pale fire kwenda kigomaa kuwa arac je! Nae alimbadirishia mshahara?
Alitoa wengi, je nao aliwapunguzia mshahara??? Au TMAA walimkosea nini??

Au hajui kuwa kabla ya TMAA kulikuwepo na Arexstuwart ambao walikuwa wakilipwa kwa Dolla???
Haoni kuwa TMAA hata hyo mishahara nikama waliipunguza kuliko ya Arexstuwart?

Haya sasa!! TRA amekiri kuwa hata yy wanamzidi mshahara!! Kwani wao sio watanzania?? Mbona hajataka wapunguziwe??
Kazi za TMAA au wizara ya madini, hazina tofauti na za TRA, maana nao wanakusanya kodi na kulinda napato yatokanayo na madini!!

Hatutaacha kuusema ukweli maana msema kweli ni mpenzi wa mungu.
 
Umeandika point tupu lkn umeshindwaje kuandika LUGHA na ukaandika rugha!
 
Back
Top Bottom