Nyie ndiyo mnamponza jiwe mpaka anaonekana kituko mbele ya watu(wanaojielewa lakini wewe haumo).Bora hio pesa waongezewe hawa maana wanachapa kazi 'kweri kweri' lkn wanacholipwa hakina sifa ya kuitwa mshahara bali 'marupurupu'.
Rais katoa hoja ya msingi tu, watu wameboronga huko walikotoka kisha wanahama na hilo 'limshahara' kwenda kuwanyanyasa watumishi wenzao tena mabosi wao ktk taasisi mpya.
Ili tuelewe kwanini msijadili kwa kuzingatia sheria ya utumishi wa umma inasemaje badala ya kutujazia blah blah za kisiasa.
Ninachokiona, huu mjadala umejaa wapinga kila kitu, waunga mkono kila kitu na wale wa roho za kwanini ambao labda maisha yameshawachapa wako stuck kwenye nyumba za shemeji zao.Ili tuelewe kwanini msijadili kwa kuzingatia sheria ya utumishi wa umma inasemaje badala ya kutujazia blah blah za kisiasa.
Ninachokiona, huu mjadala umejaa wapinga kila kitu, waunga mkono kila kitu na wale wa roho za kwanini ambao labda maisha yameshawachapa wako stuck kwenye nyumba za shemeji zao.
Kama mh. Rais angetoa maagizo hayo kwakuzingatia sheria za utumishi wa uma basi na sisi tungelijadiri kwa kutumia kanuni za utumishi.
Ndio maana nimehoji pendekezo la kubadiri kanuni kwaajiri ya waliokuwa watumishi wa TMAA?
Kwani niwatumishi wangapi waliohamishwa kwa sababu ya utendaji wao? Je nao wabadirishiwe kanuni??.
Kweli nakubaliana na wewe ila jaribu kujifunza matuzi ya R na L
Ili tuelewe kwanini msijadili kwa kuzingatia sheria ya utumishi wa umma inasemaje badala ya kutujazia blah blah za kisiasa.
Ninachokiona, huu mjadala umejaa wapinga kila kitu, waunga mkono kila kitu na wale wa roho za kwanini ambao labda maisha yameshawachapa wako stuck kwenye nyumba za shemeji zao.
Pole jitahidi kufanya mazoezi hiyo hata rais wetu mpendwa anayo so si wewe tuBr. Yawezeka p.o.box yangu ndo inayoniponza.
Huu ni Uchochezi haya unayosema unaweza kweli kuyathibitisha!?Hata akiwafanya watanzania karibu wote kuwa adui zake watamfanya nn? Watanzania hawana la kumfanya huyu jiwe.
Anajiamini, ana dola, yuko juu ya sheria na anaweza hata kuwaua hao watumishi wa TMAA na hakuna wa kumgusa. Rais wa Tanzania ni Mungu wa watanzania.
👊👊Nani amfunge paka kengele?
Wazee? Walishaonywa,
Wasomi? Walishachunguzwa
Wachungaji? Walishalainishwa.
Pole jitahidi kufanya mazoezi hiyo hata rais wetu mpendwa anayo so si wewe tu
Hahaha hakuna haja ya kujificha mkuu, ukijichanganya na kabila zengine hasa wachagga utajikuta unakuwa byeeHa ha ha ha! Nimefrahi sn kulijua hilo, mh. Rais na mimi ni chama la wana, ila sasa ndg yangu!!! Duh, mpk tutaanza kuficha kabila tunapokuwa nje ya mikoa yetu.
Za Kuambiwa Changanya na zako,siyo kila ushauri wwe unachukua tu, wengine wakushauri ili uingie Cha Kike!!"Mimi ukinishauri ndio umeharibu kabisa maana sitofanya unachonishauri".
JOHN MAGUFULI.
"Mimi sipangiwi."
JIWE
Gwanda na Ben Sa8 wametekwa na kupotezwa kafanywa au kafanya nn?Huu ni Uchochezi haya unayosema unaweza kweli kuyathibitisha!?
Wale wanoita Nchi=nnji??Hahaha hakuna haja ya kujificha mkuu, ukijichanganya na kabila zengine hasa wachagga utajikuta unakuwa byee
Gwanda na Ben Sa8 wametekwa na kupotezwa kafanywa au kafanya nn?
Lisu kapigwa risasi akafanya ama kafanywa nn?
Kabendera, Rugemarila, Seth, wamefikishwa lupango kwa mashitaka ya kubumba kafanya au kafanywa nn?
Katiba inakanyagwa kafanya au kafanywa nn?