CCM, tafuteni namna ya kumshauri Rais Magufuli maana muda mwingine anaumiza sana

Poleni sana ndugu zangu hakika nawaonea huruma sana . Imagine mtu ushakopea huo mshahara . Surely this is disastrous.
 
CCM wanajua hawategemei kura kushinda uchaguzi, acha watuoneshe makali.
 
Umeandika point tupu lkn umeshindwaje kuandika LUGHA na ukaandika rugha!
Mkuu sumetime maumivu yakuona mwenzio analiwa na simba, unaweza shindwa hata kuita watu waje kutoa msaada ukabaki unaita mamaaaaa!! Watu wakakwambia mbona usingetuita???
 
Ila nataka niwaambie!! Nasema hili kutoka moyoni! Km hatabadirika ! Atalipwa, unajua mungu acha aitwe Mungu!
Mungu anaweza kukulinda na kukuacha akikupa mda uweze kubadirika

Nafasi yko ikiisha!! Ha ha ha utashangaaa! Haya maembe haya, yanaweza kuleta kipindupindu mpaka ukajiuliza nini hiki.
Tena kikaanzia kula kwako.

Muulize farao.
 
Watu walipwe kulingana na uzalishaji wao, kwa vile waliboronga kazi basi ni busara wapunguziwe mshahara kufidia hasara waliolisababishia taifa na tena walipaswa kustaafishwa kabisa, rais ana huruma.
Ngumbaru at his best level [emoji1787][emoji1787]

Kwani sheria ya kazi inasema hivyo?
 
Mkuu Enzi na Enzi, kongole nyingi zikufikie kwa hii mada yako.
 
CCM hii ya mmaamuma watu wanamsujudu mtu wanajuwa ana file milembe zile sehemu za madini amewaweka watoto wa dada zake wajineemeshe tu fedha wNawatajirisha warundi na wanyarwanda wanakowekeza CCM ni wapuuzi wamemuweka mtu kuwa mwenyekiti wa chama chao wakijuwa anafile milembe ni psycho kabisa na ndio maana amekiuwa chama amebaki na genge la usalama wataifa huku wenyewe wakianza kuuwana hivi dhahabu kweli tangu inavyochimbwa nchi nzima siingekuza pato la taifa na kuwa namva moja mbona ni korosho sasa anabwabwaja tu maana hana sera yeyote ya maana ya uchumi kuukuza
 
Police bila information kutoka kwa Raia wema hawawezi peke yao
Taarifa za Ben wanasubiri wananchi, lkn taarifa za wanaomkosoa jiwe na zile za chadema wanaotaka kuandamana huwa wanazipata.
 
Ngumbaru at his best level [emoji1787][emoji1787]

Kwani sheria ya kazi inasema hivyo?
Wameshapunguziwa sasa tumia hizo sheria uchwara zako kwenda mahakamani. Asi holu.
 
Rais mwenye majina mengi ujue hafai na dikteta. Hivyo Idi Amin, Kamuzu Banda, et al walikuwa na majina mangapi kila mmoja? Tena majina ya hovyooo. Wengine waliitwa Dada (Idd Amin), kuku (Kamuzu) na sasa nasi tuna Jiwe!!!.
Bila kumsahau Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga....!!
 
No stone shall be left unturned

waliobaki ni wabunge kufyekwa posho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…