johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni jambo jema 😀
Haya Ufipa FC Tukutane Uwanjani
Haya Ufipa FC Tukutane Uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kuna mbinu zaidi ya chadema kutafuta sababu na maigizo je wangesimama na mpango wao wa kususia uchaguzi mpaka katiba mpya unafikiri Ccm wangefanya uchaguzi bila kukaa na chadema ila ndani ya chadena kuna wenye chama ndio wanaamua na kifupi ccm itaendelea kuongoza kwa kura za chadema!Sheria gani boss, au unadhani bado watu wako usingizini? Unataka kusema hizo hujuma za dhahiri ndio hizo sheria. Hivi huwa hambadiliki wakati watu wameshastuka nyie bado mnatumia mbinu za kizee kunajisi uchaguzi?
Katafuteni wajinga wa hivyo. Mtengeneze tatizo wenyewe kisha mjifanye kulitatua wenyewe? Kujitekenya na kucheka wenyewe!View attachment 3150555Ni Samia Tena na Demokrasia, Aagiza Wagombea Walioenguliwa kwa Makosa Madogomadogo Majina yao Yarudishwe
Na Joseph Bulebe, Dar es salaam
Rais Samia Suhuhu Hassan ameendelea kuonesha ulimwengu na watanzania kwa ujumla kuwa demokrasia ndo kitu cha msingi katika uongozi wake unaofuata utawala bora na demokrasia.
Katika hali ambayo haikutegemewa na wagombea wote waliokuwa wameenguliwa kisheria na wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa makosa madogomadogo, Rais Samia ameamuagiza Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengelwa kuwarudisha wagombea wote walioenguliwa kwa makosa madogo madogo kama kukosea mwaka wa kuzaliwa, eneo analotoka, tarehe nk.
Akiongea leo na waadishi wa Habari, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Balozi Emmanuel Nchimbi amesema Rais Samia amemugiza kumwambia waziri wa TAMISEMI wagombea wenye makosa hayo warudishwe katika kinyanganyilo cha uchaguzi ili kulinda demokrasia changa inayokuwa katika nchi yetu.
Hii sio mara ya kwanza Mh Rais anaonesha ukomavu wa demokrasia nchini katika mambo ya siasa.
Mara tu baada ya kuingia madarakani Mh Rais aliruhusu mikutano ya siasa ya wazi iliyokuwa imekatazwa na mtangulizi wake.
Hakuishia hapo Mh Rais aliunda tume ambayo pamoja na mengine ilipendekeza kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo tayari imeundwa, kuondoa pingamizi ya zuio ya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ambalo nalo limeondolewa.
Mh Rais katika kuonesha demokrasia zaidi aliwaondolea kesi mbalimbali wapinzani mahakamani kama vile Mwenyekiti wa CHADEMA na makamu wake pamoja na kuwarudisha nchini wapinzani wote waliokuwa wamekimbia nchi kipindi cha awamu ya tano.
Kama hiyo haitoshi Rais amewakaribisha Ikulu Wapinzani na kuongea nao na chini ya utawala wake wapinzani wanaalikwa karibia kila tukio la kitaifa na dhifa mbalimbali za kitaifa.
Huyu ndo Rais Samia, Mwanamama wa kwanza katika nchi ya Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki anayeipeleka nchi ya Tanzania katika kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa kidemokrasia zaidi.
Kongole kwako Rais Samia kwa kulinda demokrasia nchini kwa hali na Mali sasa wagombea waliokuwa mmeenguliwa mkutane katika kampeini tarehe 20/11/2024.
Wapuuzi kama wewe ndiyo wameinyongelea mbali nchi hii. Ni bora usingezaliwa!Safi sana CCM baba wa siasa
Wote lao ni moja,hapo ni kutuhadaa tu wananchi,baba moya mama moya,.
"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama mbalimbali ambao waliwekewa mapingamizi katika hatua za awali.
Katika maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM, tumeelezana kuwa ni vizuri watu wapate nafasi, hivyo nitumie nafasi hii kutoa wito kwa waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa, tunatambua umefuata sheria lakini ni muhimu kukumbuka kwamba demokrasia yetu bado ni changa, ni muhimu tuzidi kukua.
Soma Pia:
Tunaziomba mamlaka hasa TAMISEMI, katika hatua ya mwisho za rufaa kuyapuuza makosa madogomadogo ili Watanzania wengi zaidi wapate nafasi ya kugombea. Yapo makosa makubwa, kwa mfano nafasi ni maalumu kwa wanawake lakini amejaza mwanaume"
Eti mwenyekiti wa ccm anaiomba wizara ya TamisemiKwa mantiki hii CCM ndio wanaosimamia uchaguzi...
Eti mwenyekiti wa ccm anaiomba wizara ya Tamisemi