CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

CCM inaamini katika uhuru wa mawazo na umahiri wa hoja. Mwisho wa siku wanançhi wenyewe ndio wataamua wafuate lipi.
 
CCM inaamini katika uhuru wa mawazo na umahiri wa hoja. Mwisho wa siku wanançhi wenyewe ndio wataamua wafuate lipi.
Basi mataga kwa niaba ya jiwe waombeni msamaha Dr Nyambura Moremi, Lawrence Mafuru na Ernest Mangu.
 
Basi mataga kwa niaba ya jiwe waombeni msamaha Dr Nyambura Moremi, Lawrence Mafuru na Ernest Mangu.
Kwani hao waliongea kama wanachama au viongozi wa CCM kama Askofu Gwajima? MkifeliGI mitihani mnadai walimu wamewaonea kwenye kusahihisha kumbe umejibu utopolo!
 
Mfukuze kwanza Mama Samia na Waziri mkuu, maana kipindi Dkt Magufuli anakataa chanjo walikuwa ndiyo washauri wake wakuu, hivyo kama Dkt Gwajima kusisitiza kile ambacho mwenyekiti wa CCM Dkt Magufuli enzi za uhai wake alikisemea tena kwa ufafanuzi na Mama na Waziri mkuu hawakusema wamfukuze uanachama Dkt Magufuli maana yake basi wao pia wanapswa kufukuzwa uanachama kwa sababu waliunga mkono hoja ya Dkt Magufuli. Angalizo. Wewe na wenzako mlivyo mapimbi ni kuwa: Sisi hatukatai chanjo wala hatupingi chanjo. Tunachopinga ni hyu mpiga vuvuzela waziri wenu wa afya kutuleleta chanjo bila kujiridhisha. Alipaswa kwanza alete dawa, ajiridhishe, na aujulishe umma wa watanzania kama ilivyokuwa msimamo wa serikali ambayo Mama Samia alikuwa makamu na Mh. Majaliwa alikuwa Waziri mkuu. Sasa huyu Dorothy anaropoka ropoka tu, ningekuwa Mama Samia, huyu mropokaji ningemfukuza kazi, maana yeye ndiye chanzo cha yote.
 
Kwa hiyo unamaanisha ndani ya CCM tu ndio unakuwa huru kimawazo ila ukiwa njia yake lazima "fikra sahihi" za mwenyekiti zidumu?!
Kwani hao waliongea kama wanachama au viongozi wa CCM kama Askofu Gwajima? MkifeliGI mitihani mnadai walimu wamewaonea kwenye kusahihisha kumbe umejibu utopolo!
 
Mbona mataga walimshukia kama Mwewe Anthony Diallo alipoamua kuwa na mawazo yake huru kuhusu mwendazake?!
Kwani hao waliongea kama wanachama au viongozi wa CCM kama Askofu Gwajima? MkifeliGI mitihani mnadai walimu wamewaonea kwenye kusahihisha kumbe umejibu utopolo!
 
Naunga mkono HOJA....

HASHTAG GWAJIMA afukuzwe CCM!

#GwajimaAfukuzweCCM
 
Kufukuzana ni ushamba na wala wenye CCM yao hawatosikiliza mawazo mgando kama huyu.

“Adhabu” kubwa zaidi ni kumuacha Gwajima aendelee kufanya yake, hoping and praying kwamba watu watampuuza na kwenda kuchanjwa
 
Wa KUDEMKA hana ubavu wa kumfukuza Gwajiboy au yeyote yule katika timu mwendazake. Tizama yule mhuni Mwigulu Nchemba alivyovurunda kwenye bajeti lakini wa kudemka kahofia kumgusa. Ukweli ni kwamba WAMESHAMDHARAU nao wao wanatake advantage kufanya yao KUMUENZI dhalimu mwendazake.
 
what if ukimfukuza akaanzisha chama chake?? nawaza tu.chaweza kuwa mbadala wa chama fulani
 
hata akifukuzwa ALISHA SEMA YEYE NI ZAIDI YA RAIS
 
Tunamuachia Mpumbavu kama huyu azungumzie taaluma ya afya, kweli nchi yangu bado tuna wajinga wengi sana....View attachment 1872318
Mpumbavuu ni ww..ambae unamskiliza waziri gwajima na prof uchwara yunusu leo wakisema chanjo imethibitishwaa wakat kipind cha jpm wao walisema hakuna chanjo inayokamilika kwa mida mfupi hivyoo ilikuwa sio chanjo ya halali kwa wakati ule..
Baada ya jpm kuondoka ndani ya miezi 3 chanjo imekuwa nzuri..ww pamoja na wanzako ni makenge nyotee
 
Si kunna namba ya kutoa taarifa kwa wanaopotosha> au yeye haimhusu?
 
Naona povu limekutoka nimemtukana huyo mungu wako , haya nenda kasali atakuepusha na korona
Mimi nilichanjwa miezi 6 iliyopita na ninaupiga mwingi tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…