CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

Naona povu limekutoka nimemtukana huyo mungu wako , haya nenda kasali atakuepusha na korona
Mimi nilichanjwa miezi 6 iliyopita na ninaupiga mwingi tu...
Mtu mweusi ni mjinga kwel..hv nani aliekwambia ukichanja hupati corona?? Hufuatilii hata habar za kimataifa mzee? Acha kutia aibu jf baas.USA wamechanjaa asimilia kubwaa leo hii statistics zinasema hata waliochanjwaa wanakufa na kupata covid..na mashart ni yale yale uwe umechanjwa hujachanjwaa barakoa lazima.
Sasa ww mmakondee wa huku nanjilinji unakuja kupayuka tuu..aisee africa bado ni gizaa..nacheleaa kisema kuwa black people are Sub-human..
 
Hawezi kufukuzwa. Itakua huijui siasa wewe

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Shida sio chanjo tu ( kikwetu chanjo ni kiota cha ndege anamolala mule na kutaga plus kuatamia) tatizo ni chanjo gani ? Ndiyo yenyewe? Au Huku bara letu tunapigwa trial? Ngoma bado iko kwenye utafiti.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
USA wamechanjaa asimilia kubwaa
USA wamechanja asilimia ngapi? Ukitaja neno statistics hakikisha unaweka namba.
USA walikuwa na Magufuli wao, wananchi wakampiga chini.
Sisi tulikuwa na Magufuli wetu tukashindwa kumpiga chini...
Mungu akatuonea huruma na kumchomoa asiendelee kutupa madhara.
leo hii statistics zinasema hata waliochanjwaa wanakufa
Asilimia 98% ya wanaokufa walikataa chanjo kama awali walivyokataa uvaaji wa barakoa.
na kupata covid.
Wanapata dalili za Covid lakini hawalazwi, waliojaa hospitalini ni waliokataa chanjo na asilimia ndogo sana hupona.
Waliopona wamekuwa wahamasishaji wakubwa wa chanjo wakikumbuka mateso waliyopitia.

na mashart ni yale yale uwe umechanjwa hujachanjwaa barakoa lazima.
Hali hii inasababishwa na baadhi ya watu kukataa chanjo na ndio husababisha variants ya Covid-19 ...watu hao hao kukataa chanjo.
 
KWANI GWAJIMA KWELI NI MWANACHAMA WA CCM, NDIO MADHARA YA KUOKOTA WATU WAKATI WA UCHAGUZI
 
Bado sijaona kosa la askofu Gwajima!
Yeye kawasemea watz wengi! Na huu si ndio uhuru wa maoni!? Tena yana lengo zuri!
Mahasidi sageni chupa mnywe!
 
Hata mimi nimeshagazwa sana na huyu gwajima, kama wazungu nikutufanya hivyo wangeshatufanya, zamani ??
 
Hapo nimeamini Gwajima ana power. Hadi watu mnamwogopa kiasi hicho.
Kwa maoni yangu Gwajima yupo sahihi kabisa.
Haihitaji mtu aende chuo kikuu ili kujua walakini ya chanjo hii ya Corona.
Ivi kama mtu akichanjwa halafu anaendelea kuvaa Barakoa kama kawaida, anaendelea kuambukizwa na kuambukizwa Corona kama kawaida, anaendelea kutumia sanitizer kama kawaida nk.
Je, manufaa ya chanjo yanakuwa wapi?
 
Naona una mahaba na wazungu sana
You got inferiority complex disorder...
Mimi ni Mwafrika na mtu mweusi asilia na najivunia hivyo.
Na Afrika ni nyumbani sana tu, Ila imejaa either sellout or imbicel like you with pessimistic mind...
Na hao wazungu mimi ninaishinao na kuwapeleka mputa..
May be I am fool but a fool may be an otherwise intelligent person who has been hoodwinked, but a stupid person is one who lacks intelligence
You are STUPID.....
 
Hajazungumzia ila ametoa maoni yake kanisani kwake...apingwe kwa hoja zenye nguvu.
Anapingwa kwa hoja za kisayansi alizozipinga yule mwendazake na ikala kwake...
Ni kweli ana uhuru wa kutoa maoni yake kwa wafuasi wake aliowashika akili (poverty is a buzz word)
Kama CCM ndio wangekuwa wanaendana na ukweli wa sayansi halafu Gwajima ni pande ya Upinzani...
Kila mwenye kuelewa anafahamu Gwajima angekuwa wapi sasa hivi......
 
Covid 19 ni chakula cha manabii.

Waacheni manabii nao watambe kidogo.
 
captionA protest against vaccinations in New York
Dr Jennifer Kates, vice-president of the Kaiser Family Foundation, which monitors vaccine sentiment, says: "Some people raise safety concerns, and say they may be more likely to get vaccinated when a vaccine is fully approved vs just authorised."
 
Mtajisifiaje kuwa mna demokrasia iwapo mtaziba uwanja unaoqapa watu uhuru wa kutoa maoni yao kuhusu suala linalojadilika?
Huo ni ufinyu wa mawazo.
 

Kuhoji ufanisi na ubora wa Chanjo sio tatizo na ni mjadala wenye tija ili kupata uhakika wa kitu

Lkn kwa Gwajima kaenda mbali zaidi maana kawatuhumu watu ( Wazungu na viongozi wakuu serikalini ) na pia amepinga na kukataza watu wasiende kupata hiyo chanjo tena mbele ya vyombo vya habari ina maana ametangazia umma mzima

Je yeye ana uweredi gani wa taaluma ya afya?

Pia kwa wenzetu walio poteza ndugu zao kwa huu ugonjwa na tena kwa ushahidi wanawekwa njia panda kwa kiwango gani? Pindi nao wakitaka wajilinde kwa afya zao labda kupata hizo chanzo

Gwajima kaisha jiona ni mkubwa sana na mwenye akili timilifu kwa sababu ya upuuzi wetu wa kuwachekea watu kama hawa kwa mambo ya msingi na hasa hili la afya ( hataki chanjo akae kimya au aongee na inner circle yake tu kuhusu msimamo wake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…