CCM tumfukuze uanachama Askofu Gwajima, hana busara

Hana maadili ya uongozi, CCM ifuate mfano wa klabu ya simba kumtimua Manara
Amefanya kitendo kinachoitwa insubordination, ambacho kimsingi anatakiwa Kufukuzwa. CCM wakiendelea kumchekea atafanya material damage na kuchanganya wananchi. Kwa hakika anatakiwa apigwe stop hata kwa lazima. Kama hana cha kuhubiri mambo ya Mungu huko kanisani, issue za kitabibu alizisomea wapi?!
 
Hapana, siyo udikiteta mkuu, alikua na uwezo wa kuwaambia watu wake, lakini siyo kupotosha eti watu watakua Mazombie, ni mjinga pekee atakubaliana na upuuzi ule.
 
Ni nani aliweza kupambana na mabeberu? Upuuzi mtupu
 
Uchochezi, unafiki, uzandiki, uongo na majungu ni asili ya ccm, free Freeman Mbowe
 
Kwanini usipendekeze ccm wamfute uanachama Magufuli posthumously kabisa sababu ndio mwanzishi wa falsafa anazoeneza gwajima...na wamkane hadharani kabisa...unajaribu kum attack jpm kwa mgongo wa gwajima wewe..jitokeze bayana
 
GWAJI MA JESHI KUBWA YULE.MKUU OOOH MKIJARIBU MTACHEKA KISPANYOLA PALE KAWE ......
SOMA UJUMBE WAKE WA MWISHO NIMEJITOA MUHANGAOGOPA SANA HAWA WA AINA HII HATA UBUNGE KWAO N NTNG...WAKO KWA KUNYOOSHA....
OTHERWISE KILA LAKHERI MJAZE THREAD....
UNTOUCHABLE DK BISHOP Gwajima
 
Umeniboa kusema katiba bora afrika
ANC tutaisemeaje

Ccm uwongo nilini tutaacha
 
SERIKALI YA BURUNDI
WAIMESEMA IMEAMUA KUKUBALI CHANJO YAO KWA KUWA IMESUSITIZWA NA BENKI YA DUNIA

NAKAMWE HAWATASISITIZA WALA KUHAMASISHA WATU KUCHANJA ANAETAKA AENDE KIVYAKE..OOOH
MMELEWA SASA ISSUE IKOWAPI...
 
Jaman,tuweni wakweli nawazarendo. Gwajima Hana kosa lolote kwani msimamowake nisawa na wa marehemu mpendwawetu Dr John Pombe Magufuli, Sasa kama JPM hamkumfukuza,iweje gwajima afukuzwe?
 
Waache wamfukeze,Moto wa Gwajima akiuwasha hakuna wa kuuzima kwa Sasa ndani ya CCM.
Mkapa na Magufuli ndo wangeamua lolote kwa yeyote hata kwa nguvu.

watu wengi Sasa wanaona Gwajima ndo mtetezi wao baada ya Mwendazake.
 
Nileteeni Gwajima,nileteeni Gwajima,nileteeni Gwajima.

Tumepata msemaji,ni chuma kama JPM.
Gwajima Hajawahi kia mnafiki Tangu na mjua,ni vile wewe utatafuta upande pindi likikufika na ndo role ya wasema kweli duniani.

Hata kipindi wazee wa kusubiria siri za mbele jumapili(CDM) walienjoy wakati anampa ukweli wake J.K,lengo na hata Makonda so msishangae mtulie muone si Kila mtu mnafiki wa leo kusema Huyu fisadi kesho anakua Mgombea wetu wa Urais ,leo hatukurupuki kwenye chanjo na kupiga nyungu/dawa asili kesho eti wazee wa chanjo.


Wazee wa siasa maslahi/uongo na kudanganya wananchi wameungana tena kumpiga vita gwajima wabaki wao na maigizo yao ya siasa za upinzani na serikali.

Watu cream kama gwajima hawaezi kukumbatia ubunge walau kuhofu kupoteza ubunge KWA unafiki.

Hayo mambo watu kama kina msigwa mchungaji ndo wanayaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…