CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

Hatuongelei only wasukuma tunaongelea kanda ya ziwa kwa ujumla wake,pia hata ki takwimu kabila la wasukuma ndio linaongoza kuwana watu wengi tz.
Pato la nchi mmeachwa na mikoa mingi tuu...maana watu ni wengi lakin ni wavivu kwenye uzalishaji...iringa tu ni pili na wala sio jiji....kuna sehemu ya kanda ya ziwa wanaishi maisha ambayo unaweza sema wapo kwenye dunia yao..
 
Hatuongelei only wasukuma tunaongelea kanda ya ziwa kwa ujumla wake,pia hata ki takwimu kabila la wasukuma ndio linaongoza kuwana watu wengi tz.
Kwa hiyo unataka kusema Watanzania milioni 31 wapo kanda ya Ziwa tu?

Nyie watu huko shule mlienda kusomea ujinga nini?
 

Mtego gani? Mtego ni upi? Kwanini kuna mtego?
 
hizo ni hisia tu mkuu, wasukuma hawana nguvu kiasi hicho
 
Waliowabatiza sukuma gang ndo wenye kosa waliwaunganisha bila kujua na kuwatengenezea the sense of oneness. Huenda wala hawakuwa na mawazo haya ila kitendo cha kumuhukumu Magufuli na kabila lake na kuwalink wafuasi wake na usukuma huku wakitengwa na kusemwa kwa ubaya kunawafanya wasukuma wawaunge mkono
 
Hiyo ni kweli, walipowaita SG, washamba, wauaji, vichaa, wakatengwa, ilikuwa ukimtukana JPM na wasukuma unalamba teuzi chapchap. Wengi wakawekwa pembeni.

Ilibidi wajitafakari, wajiulize wamekosea wapi, kuwa wazalendo, wakimya, kutaka maendeleo. Wanaonekana maboya, hawajitambui.

Nafikiri bado wanatafakari nakujitafakari.
 
Tukisema wasukuma tuna maana kanda ya ziwa. Mhaya , mkurya, mkerewe , mjita, msimbiti nk wote ni wasukuma. Ndio walionyimwa elimu na maendeleo ya vitu kama shule , barabara na maji . Utajiri wao wa maliasili vilipelekwa kwingine ili wazidi kuwa duni.

Kwa juhudi zao wamepambana na kujitambua. Leo lazima mgombea yeyote aende kanda ya ziwa akubalike ndipo ashinde.


Kumbuka wasukuma , wazaramo na wairinga wote ni wamoja kiitikadi
 
Wakusikie na wazingatie!
 
Miradi mingi hatuipeleka kwa wasukuma wengi ila alipeleka Chato. Wasukuma hawakai Chato tu.
 
Wewe utakuwa mchaga unaleta uchochezi wa kikabila, haya mambo huwa yanaanza polepole lakini athari zake huwa ni kubwa sana, wasukuma walishakubali kutumika kuwanehemesha watu wengine wala hawana kinyongo kama watu mnavyochochea humu.
 
Ubaya huko wapi Makonda kuwa katibu muenezi? Kwani Makonda sio mwana CCM? Hajawahi kuwa kiongozi? Kwani wasukuma sio watanzania! Ukabila utawaua nyie wachaga
Safi sana hawa watu wa kaskazini ni watu wa ovyo sana ndio hawa walioanzisha sukuma gang mara msoga nia yao ni kuchonganisha, kuleta ukabila, ukanda na vita vya kiitikadi, hawa watu ni ovyo sana hawa.
 
Safi sana hawa watu wa kaskazini ni watu wa ovyo sana ndio hawa walioanzisha sukuma gang mara msoga nia yao ni kuchonganisha, kuleta ukabila, ukanda na vita vya kiitikadi, hawa watu ni ovyo sana hawa.
Wachaga wapumbavu sana! Wanachojua ni kuiba na kuwa makuwadi wa mabeberu kama mbowe!
 
Unajua takwimu au unaropoka, madini utayacha wapi kwa kuingizia mapato taifa ili.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…