CCM wamenasa kwenye mtego wa Wasukuma, hawatoki tena

Nimependa tu hiyo no. 7.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app

..hilo hawataki kulisema ndugu zetu wa kanda ya ziwa.

..Samuel Sitta alikuwa Spika akaishia kujenga ofisi ya kifahari. Je, hilo lilikuwa hitaji la wapigakura wake?

..Magufuli naye kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato wakati wa Mwanza haujakamiliki. Je, Chato wanahitaji huo uwanja?

..Sasa Magufuli ameondoka ndugu zetu wa kanda ya ziwa wanalaumu jamii nyingine kwa kuwakwamisha.
 
Ziwa liko Mwanza tu kweli au
 
Kuna jamii Huwa hawachapi kazi? Acha upumbavu

Hao ni wengi na wanazaa.hovyo.kwa sababu hawana Elimu ya uzazi.

Kwa ccm kunaswa ni sahihi na inatishia mstikakabali wa Nchi ikiwa siasa za kutegemea Kanda na ukabila zitashika hatamu huko tuendako.
 
Haha kumbe usukuma una mambo huko mbele kuna utusi na unyarwanda uko mbele soon kwa watanzania
 
Kwamba kanda ya ziwa ni kama IOA Marekani
 
Ni mada nzuri yenye ka ukweli fulani hivi ila inapalilia ukabila na ukanda hivyo basi mada imekosa ueledi na kuonekana ni ya kikabila, upumbavu mtupu na ujinga hatutaki kurudi huko
Ndo tumesharudi Ivoo, Naibu Waziri Mkuu kutoka kule na katibu mwenezi kutoka hukohuko na mafao ya wajane yameshapitishwa. Kanda ya ziwa ni kete ya ushindi. Haikuwa hivyo kabla ya ujio wa JPM.
 

Siyo 31 millions, ni just 10 millions; or simply just over 16% of the total population kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120.

Kwa maneno mengine, makabila 119 yaliyobaki ndiyo kwa ujumla wao wanatengeza million 50 zinazobaki.
 
Mtego gani? Mtego ni upi? Kwanini kuna mtego?
JPM alianzisha miradi mingi mno Kanda ya ziwa, wasukuma wanataka miradi yote hiyo ikamilishwe na Samia la sivyo......
 
Kwahiyo revenue ya utalii ambayo inapita ya dhahabu nayo asili yake ni Usukumani?
 
Hizo data za wapi? Mnajiandikia huko kwenye mitandao alafu unaleta humu kama proof??

Hizo ni takwimu za kupika tu hazina ukweli wowote
 
Sawa chukua ka zawadi sasa
 
Kwa taarifa yako kama hujawahi kujua basi jua leo kwamba kati ya watu walio shangilia kwa imani ya ndani kabisa kifo cha Magufuli viongozi wa juu wa CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM) pamoja na makada wa daraja la kwanza na daraja pili.
Sio kwamba makada wa juu wanawapenda wasukuma, lahashah, lakini inawabidi wawapende kutoka na upepo wa urais 2025 unavyovuma.
 
Misitu yao minene ya mininga, miyombo na mivule alisombwa na wajanja kutoka kaskazini na wao kuachwa ndani ya matembe. Wahuni walipeleka umeme hadi kwenye mashamba yao ya migomba huku wasukuma wakiachwa gizani na mashimo yao ya almasi na dhahabu. JPM alipokuja alisimamisha miradi yote kule kwa "wahuni" ili arekebishe kwanza adhali za ukoloni na awamu 4 zilizopita
Miradi mingi hatuipeleka kwa wasukuma wengi ila alipeleka Chato. Wasukuma hawakai Chato tu.
Inatia hasira sana, JPM alikuwa mbunge na waziri wa ujenzi kwa miaka mingi, alikuwa akitumwa kujenga barabara na madaraja kwenye mikoa, wilaya, tarafa na vijiji vya watu wengine lakini kwao kukiwa vumbi tupu. Akagundua kuwa factor kubwa ni nafasi ya urais, umakamo wa rais au uwaziri mkuu. Mzee Mkapa alipompatia kandarasi ya kuwa Rais alijaribu kufanya mambo mengi sana kwa muda mfupi sana kule kwao kana kwamba alijua hatakuwa na maisha marefu. Tabia hii ya watu kutumia nafasi zao kujiletea maendeleo yao, ya familia, kabila na kanda walikotoka ndiyo itaibua na kuimarisha siasa za ukabila na ukanda.
 
Kuna jamii Huwa hawachapi kazi? Acha upumbavu

Hao ni wengi na wanazaa.hovyo.kwa sababu hawana Elimu ya uzazi.

Kwa ccm kunaswa ni sahihi na inatishia mstikakabali wa Nchi ikiwa siasa za kutegemea Kanda na ukabila zitashika hatamu huko tuendako.
CCM ni chama kikubwa chenye uzoefu usikilinganishe na vyama vingine
 
JPM alianzisha miradi mingi mno Kanda ya ziwa, wasukuma wanataka miradi yote hiyo ikamilishwe na Samia la sivyo......
Miradi mingi alianzisha Chato siyo Kanda ya Ziwa. Daraja la Busisi Kigongo nalo labda alianzisha kwa kuwa litapitisha magari kwenda Chato. Vivuko kwenye Ziwa Victoria viko vingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…