CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

Wanaenda kumthibitisha Makamu Mwenyekiti ambae atateuliwa na Kamati Kuu.

Hakuna uchaguzi unapenda kufanyika na ndio maana huwezi Kuta upuuzi kama wa huko Chadomo Kwa CCM.
 
Kisha hao wagombea wa hiyo nafasi wanajinadi vipi?
 
Unauliza swali la kijinga na kitoto,huo ni utaratibu wa CCM walivyokubalina Sasa unataka wafuate utaratibu wa Vyama vyenu vinavyotegemea Nguvu ya mtu? CCM ina muundo wa kikomunist
Ni utaratibu wa CCM lakini ni wa kizamani sana.
 
Shauri wanatumia nguvu za giza kupata viongozi wao!
 
Unauliza swali la kijinga na kitoto,huo ni utaratibu wa CCM walivyokubalina Sasa unataka wafuate utaratibu wa Vyama vyenu vinavyotegemea Nguvu ya mtu? CCM ina muundo wa kikomunist
Ni kweli ambao uhai wake wote ni mbeleko ya vyombo vya dola. Chama kama ccm hakijalishi kimekaa madarakani muda gani, ila ukikitoa nje ya mbeleko ya vyombo vya dola inakuwa ni kama tofali la barafu juani.
 
Wanachagua paspo wagombea😅😅
 
Ni kweli ambao uhai wake wote ni mbeleko ya vyombo vya dola. Chama kama ccm hakijalishi kimekaa madarakani muda gani, ila ukikitoa nje ya mbeleko ya vyombo vya dola inakuwa ni kama tofali la barafu juani.
CCM sio sawa na Vyama vya vibaraka,malizeni kutukanana na kudhalilishana kwanza ndio mje uwanjani.

CCM ni chama Dola nidhamu ni namba 1 hakuna mtu wa kuchangia chama Wala fadhila
 
Haahaa, Tangu lini ccm wakawa na demokrasia?
 
Kwani huko Chadema vyeo vyote hakuba mwanzisha mwendo mfano katibu mkuu wa chadema, manaibu katibu wakuu bara na visiwani huwa wanagombea hivyo vyeo?
 
Sio yeye wajumbe wote wa kamati kuu na halmashauri kuu huwa na kifua cha majina husika hadi yafike mkutano mkuu
Halafu hayo majina yanajinadi lini na wapi? Ila chama cha wazee ni vituko vitupu. Kwa cdm tunaona ushindani wa kweli wa kisiasa. Uimara na udhaifu wa kila mgombea unawekwa hadharani. Mgombea akishinda anashinda kwa ushawishi wa kisiasa, na sio hisani ya viongozi fulani.
 
Shithole countries
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…