Tetesi: CCM wanapita vyuoni kuorodhesha UVCCM waliokosa mkopo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumejipangaaa... Mwaka huu mtaisoma x2
 
Schemers Govt up to 2020 or beyond!! It is all slavery I assure you
 
Hakuna cha chumvi wewe ndio unataka kupotosha habari
Ili uorodheshwe lzm uwe na kadi ya ccm

 
Inanikumbusha kipindi cha kampeni Chadema iliopita vyuoni kuandikisha wanachuo na waliko jiandikisha ili wawape nauli ya kwenda katika vituo vyao kupiga kura siku ya uchaguzi ilikua kimya kimya... Kama ili ni kweli ulilosema basi nawaomba na vijana wa chadema wajiandikishe.. Anaweza kua mwanachama wa CCM kura akampigia mgombea wa Ukawa
 
Ni zamu yetu bara kuisoma baada ya kuikataa ccm

 
Mkuu mi siwezi kutunga habari, hii habari kwa vijana ambao ni wageni hawawezi kuisikia maana ilikuwa kimya kimya

Ili mradi kumbe hayo mambo ya kuandikshana yapo,basi mleta uzi yuko sahihi.Uvccm wanaandikisha waliokosa mkopo wao kama nani?
 
Kwani ndalichako ni chama gani

kwanini waandikwe na watu wa chama? usipokuwa na chama chochote maana yake hupewi mkopo? bodi imewapata tenda hiyo ccm? msipige kelele njooni mjibu haya maswali
 
Mkitaka kujua serikali haina hela hebu kumbukeni mama samia suluhu ni muda alitoa ahadi ya serikali kuilipa MSD ili inunue dawa na mpaka leo ahadi hiyo haikutekelezwa. Tatizo pato kubwa la serikali lilikuwa kwenye ushuru wa forodha ambao umedoda baada bandari ya Dar kugeuka uwanja wa mpira bila ya kuwa na meli hata moja
 
Sasa mbna tunatangaziwa wanavunja rekodi kila mwezi

 
Hahahaaa mtachonga sana. Acheni porojo nyie wenzetu kwani kila kitu mwakitazama kwa mtazami hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…