Tetesi: CCM wanapita vyuoni kuorodhesha UVCCM waliokosa mkopo

Nani kawapa mamlaka ya kufanya kazi ya serikali? Kwani wahusika hawapo? Au huo mkopo watapewa na CCM?
 
Ukimsikia malaika siku za nyuma alikuwa anasema hataki siasa kwenye utekelezaji wa ahadi lakini kinyume chake mawaziri wake wamekuwa wakipiga siasa la uwongo wa hali ya juu, na haya wanayafanya huku malaika akijua utadhani kawatuma. Mfano Charles mwijage kawa muongo anadiriki kudanganya utafikiri anapiga kampeni jukwaani. Hatuwezi kufika popote kwa mtindo huu kama kuna tatizo ni heri kuwa wazi ili kila mmoja achangie wazo la kutoka hapa tulipo
 
Na wewe tunga uongo wako uandike kwani bei gani mkuu
 
Eeh! Mungu eeh! Linusuru Taifa letu na huyu dikteta ucharwa na chama chake cha ukoo wa mafisi na mapanya wanaotaka kuleta ubaguzi wa kutisha nchini.

 
Tumia uelewa kidogo, kwani uvccm wanahusikaje na ufatiliaji wa wanafunzi wenye makundi maalum? Bodi ya mikopo inakazi gani? Kama ni kweli wanaafatilia na kuandika watu bila shaka yeyote wametumwa kuorodhesha CCM wenzao.
 
Kama ni kweli natangaza kwamba nitaiktikia zoezi kwa moyo mmoja lakini ukweli upo ndani ya moyo hiyo haina shida kabisa tena nawakaribisha hapa chuoni.......
 
ENDAPO TAARIFA HIZI NI ZA UKWELI HAKIKA HAWA HARAMU WANAPASWA KUFANYWA CHAKULA CHA MAMBA MAANA HUU NI UFEDHULI KWA UBAGUZI HUU NA KUFANYA KAZI WASIYO NA MAMLAKA NAYO.
KUNA TAASISI HUSIKA YA KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI AMBAYO NI HESLB NDIYO WADAU NA WAHUSIKA WAKUU HAO HARAMU ENDAPO WANAFANYA HIVYO NA WANAFUNZI WENGINE WANAKOSA WAKIDHANI WANAJENGA NA WANA AKILI WAMEPOTEA KWANI HAKUNA MWANAFUNZI WA ELIMU JUU ANAYETAKA KUSIKIA WHAT WE CALL IS THE HELL CCM???
POOR MINDED THOSE WHO DO IF TRUE
 

Time will tell
 
Lakin hata wewe pia una haki ya kukanusha sio kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…