GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
A
Kumbe tatizo ni upumbavu wako tu uliojaa kichwani!!..kwa hiyo baada ya 2030 ataruhusiwa kugombea tena awamu ya pili!?
Anaweza, wanitana tu wanabadilisha kanuni na vifungu vya katiba anagombea anashinda. Simple tu.
 
Ponjolo la kino akirudi , naitupa KADI ya chama
 
Mbona bado hamna kinachoendelea
 
Za kunyapia nyapia eti ile flash ya majina imeliwa na Virus 🦠 mpaka folder kwenye PC imeliwa!! Tunaomba muwe wapore wakati IT wanahangaika na Kirusi. Vita ya kupambana na kirusi si ndogo.
😎

Ni drama au maana..
Haya ya flash yamepitwa na wakati munoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…