GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanawehuka kwa kukivuruga chama kile cha upinzani wakadhani wamemaliza kazi, sasa karma inaanza kukitafuna chama chao instantlly. Bora wasingekisambaratisha chama kile cha upinzani kwa ustawi wa demokrasia nchini ili kubalansi mambo. Walijisahau sana wakadhani bila upinzani wa chama kile mambo yao yatakwenda kama watakavyopanga
 
Leo moto ungewaka. Ila Samia angeona mbali angemaliza hii ungwe angejiondokea ila Tatizo Mzee wa msoga kujifanya master connector ndo chanzo cha yote haya
Kwan agenda za kikao kama hiki ni zipi? Tuanzie hapo
 
kamati Kuu
Sekretariet
kamati ya usalama na maadili
mkutano mkuuu

kazi zake ni zipi
Swali la mtu aliekaa darasani akatizama ubaoni, nje ya dirisha na juu ya dari. Lazima kichwa kiwe smart sana
 

Attachments

  • IMG-20250719-WA0001.jpg
    IMG-20250719-WA0001.jpg
    64.6 KB · Views: 22
Back
Top Bottom