GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Barua imehairisha vikao,haikuhairisha shughuli??

20-07-2025:
Mikutano Mikuu Maalum ya UWT ya Wilaya kupiga kura
ya maoni kwa wagombea wa Udiwani wa Viti Maalum

22-07-2025:
Mikutano Mikuu Maalum ya Mikoa ya UWT kupiga kura
ya maoni kwa wagombea wa Ubunge wa Viti M aalum
(Tanzania Bara) na Wagombea Ubunge/ Uwakilishi
wa Viti Maalum (Zanzibar) vya Mikoa
 
Fake!!!
 

Attachments

  • IMG-20250719-WA0000.jpg
    IMG-20250719-WA0000.jpg
    56.7 KB · Views: 19
kamati Kuu
Sekretariet
kamati ya usalama na maadili
mkutano mkuuu
Halmashauri kuu
Kamati ya siasa

kazi zake ni zipi

wote hawa hawakuona kasoro alizoziona Polepole..............makundi yote haya yanasubiri ku saini posho! No, nobody protested kusema katiba Inavujwa!
Turudi kwa CDM,

Kamati zote hazikuona udikteta wa Mbowe,Bali Lissu pekee(Polepole).

Samahani kukuchanganyia madesa!
 
Barua imehairisha vikao,haikuhairisha shughuli??

20-07-2025:
Mikutano Mikuu Maalum ya UWT ya Wilaya kupiga kura
ya maoni kwa wagombea wa Udiwani wa Viti Maalum

22-07-2025:
Mikutano Mikuu Maalum ya Mikoa ya UWT kupiga kura
ya maoni kwa wagombea wa Ubunge wa Viti M aalum
(Tanzania Bara) na Wagombea Ubunge/ Uwakilishi
wa Viti Maalum (Zanzibar) vya Mikoa
Dotes connected well,asante Jamii forum.
 
Back
Top Bottom