Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,940
....
Huyo ni mrundi mkuu, lazima akipende ana maslahi nacho kwenye uraia wake, huoni anaandika "mala" badala ya maraKwa nini??
The curse of the chick does not get the hawk
Hivi mbona mpaka sasa hajavunja bunge. Kweli iko shidaMgombea ni haram (hata kwa mujibu wa vitabu vya dini), vikao navyo ni haram tu..
Hivi mbona mpaka sasa hajavunja bunge. Kweli iko shida
Yotote=YoyoteHakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
😁😁Vyovyote mtakavyofanya lakini hakikisheni mama yetu yuko salama ili oktoba tutiki, kama mmemchoka mturejee akiwa mzima wa afya tule naye urojo, kauzu, kachori na ubwabwa hapa kizimkazi, Zanzibar.
Hakiteteleki ❌tuko pamoja mwalimu wa kiswahili chama hakiteteleki
Nami nakipenda ila chama kama kimetekwa na kundi fulani.Chama changu pendwa nakipenda sana
Mama hana shida.Vyovyote mtakavyofanya lakini hakikisheni mama yetu yuko salama ili oktoba tutiki, kama mmemchoka mturejee akiwa mzima wa afya tule naye urojo, kauzu, kachori na ubwabwa hapa kizimkazi, Zanzibar.
Andika vizuri " imala" ndio nini kilaza wewe!Hakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
Hakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
mkiambiwa dharau ni mbaya muwe mnaelewa. Mama angemsikiliza lissu angepeta vema tu na angeepuka msigino wa ndani ya chama chakeMama akumbuke ofa ya Lissu ya kusogeza mbele uchaguzi na yeye aendelee kuongoza hata kwa miaka miwili.
Vinginevyo hawezi kuongoza Tena.
sasa utafanyaje?? Hilo dude uchawi wake ni RESILIENCE, atakaye crack hiyo code atakuwa amefaulu kuitoa CCM lakini so far hakuna dalili, hata mtu akiasi anakumbuka resilience ya chama inayofanya kiwe unbreakable, so wanarudi nyumbani (MAMVI, SUMAYE, LYATONGA, WASIRA(NNCR-MAGEUZI 1995-98), etc, etc)Majizi ya Ccm kwenye madaraka ni kama fisi wameona mfupa