GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safi sana. Polepole anfauraha lkn yule mwanamke mvimba macho ana presha mpk kaahirisha vikao
presha itoke wapi? wakati uhakika wa CCM kushinda ni 100%, we unafikiri chama gani kitachukua nchi zaidi ya CCM? kuahirisha vikao ni kawaida, hata enzi na YUDA boy (POLEPOLE) akiwa huko top kabla ya kuanguka na kujidai anajiuzuru, vikao vikubwa vilikuwa vinahirishwa
YUDA BOY anawachezesha mziki ambao nyie mnaucheza kumbe si walengwa, ni accidenatal audience
 
Huyo Mama atashinda na hataongoza kwa visasi ni kwa vile humjui,hivi unajua jinsi alivyoteswa na mumewe wakati hana cheo? tena amepanga chumba kimoja manzese? akiishi kwa mshahara mdogo na kupanda daladala,akienda kutibiwa muhimbili kwa daladala,lakini kapambana na kudra za Mungu zimemuweka alipo.Hajamlipa kisasi mumewe kabisa,anaishi nae vyema kabisa
Mbona kuna kjisasi kwa lissu na chadema kufungiwa?
 
Fake news
Screenshot_20250719-122848_1.jpg
 
presha itoke wapi? wakati uhakika wa CCM kushinda ni 100%, we unafikiri chama gani kitachukua nchi zaidi ya CCM? kuahirisha vikao ni kawaida, hata enzi na YUDA boy (POLEPOLE) akiwa huko top kabla ya kuanguka na kujidai anajiuzuru, vikao vikubwa vilikuwa vinahirishwa
YUDA BOY anawachezesha mziki ambao nyie mnaucheza kumbe si walengwa, ni accidenatal audience
Anajifanya Paulo kuwa amekutana na Yesu na kupewa wito kwa mataifa
 
presha itoke wapi? wakati uhakika wa CCM kushinda ni 100%, we unafikiri chama gani kitachukua nchi zaidi ya CCM? kuahirisha vikao ni kawaida, hata enzi na YUDA boy (POLEPOLE) akiwa huko top kabla ya kuanguka na kujidai anajiuzuru, vikao vikubwa vilikuwa vinahirishwa
YUDA BOY anawachezesha mziki ambao nyie mnaucheza kumbe si walengwa, ni accidenatal audience
Mkiambiwa ukweli mnawaita watu wasaliti. Usaliti unaoatikana mtu akitaka kutia nzi kwenye togwa mnayokunywa?
 
Back
Top Bottom