GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mama kazi anayo.Familia yake wangemshauri tu kitambo, akitutafutia katiba mpya, then akajistaafia..kwa amani.
 
Huyo Mama atashinda na hataongoza kwa visasi ni kwa vile humjui,hivi unajua jinsi alivyoteswa na mumewe wakati hana cheo? tena amepanga chumba kimoja manzese? akiishi kwa mshahara mdogo na kupanda daladala,akienda kutibiwa muhimbili kwa daladala,lakini kapambana na kudra za Mungu zimemuweka alipo.Hajamlipa kisasi mumewe kabisa,anaishi nae vyema kabisa
Sio kwamba hana ndoa?
 
Huyu muandishi wa barua utafikiri anatuma SMS !!! Sababu za Kiufundi ndio zipi hizo ? Au kachomoa tu template na kubadilisha tarehe...
 
Back
Top Bottom