GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Barua imehairisha vikao,haikuhairisha shughuli??

20-07-2025:
Mikutano Mikuu Maalum ya UWT ya Wilaya kupiga kura
ya maoni kwa wagombea wa Udiwani wa Viti Maalum

22-07-2025:
Mikutano Mikuu Maalum ya Mikoa ya UWT kupiga kura
ya maoni kwa wagombea wa Ubunge wa Viti M aalum
(Tanzania Bara) na Wagombea Ubunge/ Uwakilishi
wa Viti Maalum (Zanzibar) vya Mikoa
Kiswahili jamani.
Sio imehairisha ni imeahirisha.
Sio haikuhairisha ni haikuahirisha
 
Hivi hiki chama cha mapinduzi.... Kilipindua nini huku Tanganyika? 🤔....

Humphrey Pole Pole anaweza kufafanua kama anapita humu jukwaani 😢
 
Hii mi-fisi-em akili ndogo kabisa. ''Imala'' sasa ndiyo nini? Bila shaka wewe ni ile ''protocol'' ya ikulu, ile short man iliyohamishiwa ikulu kuratibu wasanii uchwara.
sema watu mnakosoa sana as if nyie ni wakamilifu sana hatuwezi fanana mitazamo
 
CCM taifa ibadili kanuni za kupata wagombea watatu
  • Wagombea wote wapigiwe kura za maoni;
  • Wanaccm wote washiriki kura za maoni
  • Takukuru wadhibiti rushwa,
  • TISS wafuatilie nyendo za wagombea

Hapo hutaona fukuto lkn tofauti na hapo nauona mgawanyiko mkubwa sana
 
sema watu mnakosoa sana as if nyie ni wakamilifu sana hatuwezi fanana mitazamo
Nani kasema tufanane ki-mitizamo? In fact sisi ni ma-champion wa mawazo huru. Hili somo kawape polisi, mahakama na viongozi wa CCM wanaodhumuni haki na uhai wa watu wanaowakosoa.
 
Wamenusa hatari tayari. Nadhani kuna watu wamepanga kukinukisha ndani ya kikao chenyewe. Wangejitahidi kufanya kikao hicho mapema maana kila kukicha CCM ndani kwa ndani uadui unaongezeka.
mbona huwa ni kawaida kukinukisha kwa baadhi ya agenda
 
Back
Top Bottom