Tunaelekea pazuriMajizi ya Ccm kwenye madaraka ni kama fisi wameona mfupa
Bunge la katiba utaratibu ulikuwaje?....kugombea nafasi yeyote akawahi kushinda
Msimamo wa ligi hadi sasa niMkiambiwa bila reforms hakutakuwa na uchaguzi muwe mnaelewa.
Lisu mmoja tu ameparaganyabkabisa serikali na chama cha mapinduzi. Na bado, soon utasikia mwenyekiti wa ccm taifa kasusa vikao.
😀😆 Linawaunguza machawa wote wa pale Lumumba wakiongozwa na mshambwaJua ni kali sana pale Lumumba
CC JUA ni Kali Sana
vyama vyote vikiungana, na kutengeneza one powerful opposition party, viongozi waache ubinafsi na kujali maslahi binafsi, pia waache kuwa "double agents" ,wakikuze chama kwa miaka mitano, CCM wanaweza kuiondoa au kuishia kuunda coalition government,Code si ngumu tatizo vichwangumu wengi sana hapo chakandumuz
Hata kuandika imara tu mtihani, mtaji wa CCM ndio huuHakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
Leo ndiyo unadhani??😂Nadhani kuna kitu hakiko sawa haya hayajawahi kutokea ndani ya ccm
Au ndio pole pole effect?
Kilitakiwa kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwa kwa wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara wadogo wadogo, watu wa chini. Kuondoa umaskini, ujinga, maradhi,kuleta uongozi bora.Hivi hiki chama cha mapinduzi.... Kilipindua nini huku Tanganyika? 🤔....
Humphrey Pole Pole anaweza kufafanua kama anapita humu jukwaani 😢
kuna watu wachache wanadhani kuna uchaguzi utafanyika bila marekebisho ya sheria.Hii ni nguvu ya NO REFORMS NO ELECTION.. Hata kama hawataki lkn ukweli utabaki kama ulivyo
Njia ndefu sana…vyama vyote vikiungana, na kutengeneza one powerful opposition party, viongozi waache ubinafsi na kujali maslahi binafsi, pia waache kuwa "double agents" ,wakikuze chama kwa miaka mitano, CCM wanaweza kuiondoa au kuishia kuunda coalition government,
kwa utitiri wa vyama vilivyoko sasa, na vinafanyiana fitina, kuitoa CCM ni NGUMU sana, hata wenyewe wanajua
Yule bibi amelemewa na hana akili,Kila mtu anaaema lakeTaarifa ni sahihi hii? Nilidhani inatolewa na Mwenezi ama Katibu Mkuu!
Kwenye hotel yake The one au Kwanza hotel?Vyovyote mtakavyofanya lakini hakikisheni mama yetu yuko salama ili oktoba tutiki, kama mmemchoka mturejee akiwa mzima wa afya tule naye urojo, kauzu, kachori na ubwabwa hapa kizimkazi, Zanzibar.
Fake Fake Fake
No reform No Election
Huyo Mama atashinda na hataongoza kwa visasi ni kwa vile humjui,hivi unajua jinsi alivyoteswa na mumewe wakati hana cheo? tena amepanga chumba kimoja manzese? akiishi kwa mshahara mdogo na kupanda daladala,akienda kutibiwa muhimbili kwa daladala,lakini kapambana na kudra za Mungu zimemuweka alipo.Hajamlipa kisasi mumewe kabisa,anaishi nae vyema kabisaIla huyu mama akishinda hii vita awamu ya pili ataongoza kwa hasira sana yenye visasi ndani yake.
Safi sana. Polepole anfauraha lkn yule mwanamke mvimba macho ana presha mpk kaahirisha vikaoNo reform No Election