Mkiambiwa ukweli mnawaita watu wasaliti. Usaliti unaoatikana mtu akitaka kutia nzi kwenye togwa mnayokunywa?
Nimependa hiyo "imala"Hakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
Wewe huna tofauti na yule aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Iraq wakati wa vita na USAHakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
Anaandaa maharage na mayai ya kuchemsha akishushia na maziwa mtindi lazima watu wapate pumuAtatoa mwingine.
Kweli kabisa, hakuna changamoto yoyote na chama bado kiko "imala", lakini ukweli na uhalisia chama chenu hakipo imara kabisa!Hakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
heshimu wakubwaYule bibi kusimamia uchaguzi ndani ya chama ameshindwa,atasimamiaje uchaguzi mkuu October 2025?
Unataka ujue nilipofika ili ikusaidie nini?we umefika wapi na uwezo wako
Kiko imala sawa, lakini hakipo imara.Hakuna changamoto yotote chama bado kiko imala
Sio kwamba hana ndoa?Huyo Mama atashinda na hataongoza kwa visasi ni kwa vile humjui,hivi unajua jinsi alivyoteswa na mumewe wakati hana cheo? tena amepanga chumba kimoja manzese? akiishi kwa mshahara mdogo na kupanda daladala,akienda kutibiwa muhimbili kwa daladala,lakini kapambana na kudra za Mungu zimemuweka alipo.Hajamlipa kisasi mumewe kabisa,anaishi nae vyema kabisa
Majina ya wagombea urahisi 🤣Kwan agenda za kikao kama hiki ni zipi? Tuanzie hapo
Na wengi sana watapotea, maana ataongoza kwa kinyongo, kisasi na chuki.Ila huyu mama akishinda hii vita awamu ya pili ataongoza kwa hasira sana yenye visasi ndani yake.
Hasa kwa waliompinga ndani ya chama chakeNa wengi sana watapotea, maana ataongoza kwa kinyongo, kisasi na chuki.
Ndiyo, nashauri angechukua uamuzi wa kumwachia mwingine tu kwa maslahi mapana ya nchi yetu.Hasa kwa waliompinga ndani ya chama chake