CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

Ile movie y mwenezi ilikuwa na script mbovu.
 
Hivi aliyemteua ni ccm mwenye akili au???
Jibu bila kuogozwa na ukada au udini
 
Tatizo ni kwamba Makinda anajua hii nchi imejaa wajinga na ndio maana anakuja na siasa zilizojaa maigizo ili aweze kuliwin hili kundi
Siyo makonda tu kwenye Hilo. Kete ya ccm ni watu wajinga tu. Kama Kuna kitu kina wakera ccm ni watu kuwa na ufahamu au kuelimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…