Hawa wametisha balaa.!16.KIJIJI CHA NZUBUKA CCM 195, CDM 502[emoji818]
Nzubuka hawana shukrani,hivi hawajui kuwa bombadier zinatua Tabora na treni ya umeme itapita hapo??
mambo haya wangefanya watu wa Njombe labda...
Sasa kama una akili ndo ujue kuwa watu wanaitokomeza fisiem ni juzi tu mlipata matokeo mazuri nafasi 22 Leo mmetokomezwa dawa ya Jeuri kiburi dadadekikWENYE MATOKEO YA KATA ZILE 22 ILIKUWA UJUMBE KWA NANI?
Imekuaje viwavi jeshi wamekubali kirahisi ivo😀😀😀
Jipeni Moyo tuu Kama mafuriko ya 2015 hayakuleta Kitu itakua vijiji hivyo?
View attachment 500442 View attachment 500441 View attachment 500440
Fwantastic, hongera kwa Wananchi wa Tabora kwa kujitambua. Bravo viongozi na Makamanda kwa kazi nzuri.Hahahah safi sana, hiyo ndo inaitwa katafunua... Ujumbe kwa dingi wa bashite.
In komba voice "tumewapiga kwenye mitaa cdm mbele kwa mbelee..., 2020 cha mtemakuni mtakiona cdm mbele kwa mbele..."
......................
Sijasema mimi, ni mitaani Tanzania inasema hivyo.Wewe umejuaje kama 2020 JPM atashinda? au ndio nyie mnaonza kuiba matokeo kuanzia sasa?
Kwani anahama?? Sasa si ndo maama yake sisiemu bado ina tacticians zaidi ya chadema?2020 Makamba Jr atakuwa sio yule wa 2015. Huyo ndiye anajua siri ya ushindi wa CCM wa asilimia 58!
Mimi nikiangalia agrgate naona CCM 14 CDM 8, ila chadema wamejitahidi sanaMungu usiye lala wala kusinzia,Wewe pekeyako ndiye mkombozi wa nchi yetu.Mungu mpe magufuli macho ya rohoni,ajue kwa matokeo haya,tena kwenye ngome ya ccm Tabora,ni kwamba amejenga uaudui miongoni mwa jamii kwa kukumbatia baadhi ya watu na kuwaonea wengine.amedharau nakuwatupa maskini,kielimu,afya,
Chakula,na hata thamani ya utu na heshima !.kiongozi gani akisimama katika hadhira yoyote anamwaga kashfa,vitisho na matusi?
Mungu itoshe tu mfalme huyu,akinywee,kikombe,alichonywea nebkadreza.Amen.
Mbona hivyo 13 sivioni mimi nimejaribu kuvihesabu out of 22 CDM wamepata viti 8 tu, rudia tena kuhesabuHata kma vingekuwa 1000 ila lazma ujue uchaguzi uliopita we had 0 kabisa so kupata hizo 13 ni pigo kwa ccm na achievement kwa upinzani the rest mlizoshinda mmetetea so u have nothin to gain but we had nothin to lose
Hesabu tena.Mbona hivyo 13 sivioni mimi nimejaribu kuvihesabu out of 22 CDM wamepata viti 8 tu, rudia tena kuhesabu
Kumbe ni kweli kulikuwa na mafuriko?Jipeni Moyo tuu Kama mafuriko ya 2015 hayakuleta Kitu itakua vijiji hivyo?
View attachment 500442 View attachment 500441 View attachment 500440
Sauli mbona waniudhi?Mungu usiye lala wala kusinzia,Wewe pekeyako ndiye mkombozi wa nchi yetu.Mungu mpe magufuli macho ya rohoni,ajue kwa matokeo haya,tena kwenye ngome ya ccm Tabora,ni kwamba amejenga uaudui miongoni mwa jamii kwa kukumbatia baadhi ya watu na kuwaonea wengine.amedharau nakuwatupa maskini,kielimu,afya,
Chakula,na hata thamani ya utu na heshima !.kiongozi gani akisimama katika hadhira yoyote anamwaga kashfa,vitisho na matusi?
Mungu itoshe tu mfalme huyu,akinywee,kikombe,alichonywea nebkadreza.Amen.
Mbona unamuongezea just bit.Mafuriko yalifanya kazi yake, kama hayakufanya mbona mlikataa wasijumlishe matokeo yao? au mnadhani tumesahau? Zile computer za kituo cha sheria na haki za binadamu mlichukua za nini? Au kichwa chako kina kumbukumbu ya 2kb?
Mwenye uwezo wa kufunga magoli kama hayo Nepi Mozesi Maradona hayupo nao tena.Hahhahaha ccm mbele kwa mbele inamaana hata goli la mkono lilikua gumu......
Kwa hesabu za haraka hapo inamaana DED na DAS ni majipu.
Kama ulisoma sayansi hasa biology kuna kama formula kanaitwa CTOSO..Cell,Tissue,Organ,System kisha Organism.Hata mbuyu ulianza kama mchicha na wewe ulianza kama single cell lakini leo hii ni complete organism.Mtu mwelevu huwa hapuuzi vitu vidogo kwa sababu huwa ndio chanzo cha vilivyo vikubwa ndio maana hata sisiem hawakuacha kushiriki hako kauchaguzi.Watu walio deprived kwa muda mrefu huwa wanatia huruma sana.
Sasa kwa mfano hicho kiuchaguzi wanavyokifurahia utadhani sijui nini tu!
Watanzania wamechoshwa na CCM miaka zaidi ya 50 wagonjwa wanalala chini?Sijasema mimi, ni mitaani Tanzania inasema hivyo.