Umeona eeeh. Yaani kacheza kishamba sana. Kama kweli alikuwa ana nia ya kuchukua form alitakiwa acheze Pele. Wangestukia tu mpira golini.Hana lolote Mamba nguvu zake ziko majini huku nje mweupe tu.!
Tofautisha Utamaduni na katiba,katiba yenu wapi imeandikwa miaka 10?Utamaduni wa CCM ni miaka 10 bwashee.
Mwaka huu mgombea wetu ni Dr Magufuli hilo liko wazi!
Mafiscm wana hiyo misamiati. Ni vitu viwili tofauti.
Naona unamvuta karibu Bwana Membe haaaa.
Tutamuchukua, membe ni aseti. nazani hata Dk Slaa atakubaliana nami! sio yule mzee wa nywere nyeupe.mwiteni kwenye lichama lenu, kufidia waliondoka, najua yeye ana mtaji wa wanachama milioni 10, tofauti na Lowasa aliyekuwa na mtaji wa wafuasi mil 6 kutoka ccm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa Mheshimiwa Daud Albert Bashite kutoka KolomijeKampeni meneja mwaka huu wa mgombea uraisi wa CCM anakuwa nani? Mh. Kinana ametumika kama kampeni meneja wa Mh Kikwete na baadaye Mh Magufuli; jee CCM itamteua nani kuchukua nafasi ya Kinana?
Kwahio umefurahiii kinyamaEti ...niguse ninuke...mikwara mingine bwana, sasa ameguswa, akanuka , akapakwa pafyumu harufu kwisha!
NotedKinana apewa onyo
Makamba asamehewa
Membe afukuzwa uanachama
Jr[emoji769]
Aliwahi kutoa kauli ya "Niguse Ninuke". Sasa ameguswa. Tunasubiri kuona atakavyonuka.Sawa ngoja tuone.
Mzee membe WANAMUITA kachero mbobezi.
Mimi sijui kitatokea nini.tuombe uzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba siyo lazima iandikwe!Tofautisha Utamaduni na katiba,katiba yenu wapi imeandikwa miaka 10?
Amesema kugombea Urais mkuu, eti ile kosa la Mh Membe na waheshimiwa wengine ipi ilikua kubwa na hatari? walipoitwa Mh Membe ndo alikua wa kwanza kuitikia wito.Udikteta uko Chadema mwenyekiti miaka 20+.....kuanzia enzi za Mkapa!