MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Upinzani wasifanye kosa tena la kubeba makapiMembe afutwa uanachama wa ccm
atajiunga ACT wazalendo kugombea uraisi, CHADEMA hana nafasi #2020Twende na Lissu
Watabeba tu si wafanyabiashara?.......watasema anawatu wengi