CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Ikitokea itabidi katiba za vyama zibadilisho ili viongozi wa juu wawe na hisa maana haiwezekani mtu aliyekitumikia chama maisha yake yote ua utu uzima aje afukuzwe tuu tena na wanachama wapya waliotokea upinzani
Wangeanzisha kampuni sio vyama
Vipo vyama vinamilikiwa na watu Ila sio CCM
CCM Wamiliki wake wanabadilika kila wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…