😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Sidhani mkuu.Membe nadhani kafukuzwa kwa vile ananyemelea Urais,Ni full udikteta
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafanyaje sasa, kichaa akishashika rungu na panga inabidi tu utimue mbioo..bro ake mzee wa msoga hawezi akakubali hii fitna, tutarajie mvurugano mkubwa sana ndani ya nyumba ya wezi na wauaji.
Haya Chadema yale matusi yenu kwa Membe tumeshasahau, mchukueni agombee urais! Jembe hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu hawezi mfukuza KanaliSafi sana. Bado Kinana
una akili sana !..bro ake mzee wa msoga hawezi akakubali hii fitna, tutarajie mvurugano mkubwa sana ndani ya nyumba ya wezi na wauaji.
Yaani kwamba uhai wa CCM unamtegemea kinana? Kati ya CCM na Kinana kipi kinategemea chenzie.ccm kama siyo kinana na yule chalii ingeshajifia,
leo mtampa majina yote ila uraiani wana nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mtasubiri sana huo mvurugano hamtauonauna akili sana !
Membe na Lowassa nani alikuwa na moto? WaTz wamechoka sana,ule mzuka wa 2015 haitakuwepo tena maana watu wengi hawana mpango wa kupiga kura au kuhangaika na wanasiasa kutokana na hamahama ya wanasiasa,wote wanaonekana walewale tukwa sura hii 2020 mwisho wa ccm, Membe c wakupuzwa hata kidogo