CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

Ni kweli hana mvuto kwa wananchi ila nafikiri ametumia nafasi yake kama Waziri mambo ya nje kusabotage nchi yetu, kwa kifupi ni vurugu tu lkn hana uwezo wowote wa kushinda Uraisi TZ kwanza hata 1/3 ya kura alizopata Lowasa hawezi kufikisha.
Sabotage ipi tena, ndege zilizokuwa zinang'ang'aniwa nje ya Nchi? Una facts au ni hisia tu?
 
Hii ndio chama ya mapinduzi hata haingalii cheo historia wala sura magufuli akileta zake anagongwa za uso muulize maalimu seif anajua!
 
Hakuna kitu kama hicho ...Siasa si SAYANSI KAMA HISABATI KWAMBA 3+3=6! Kwenye Siasa hapo kuna majibu mengi !😀😀
 
Back
Top Bottom